Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

Ni ngumu kuwepo perfect murder lakini zipo murders ambazo mpaka leo hazikuwa solved. Kuna murders zilichukuliwa kuwa ni suicide au natural death hadi mhusika alipotekeleza mauaji mengine
Kuna yule alikuwa shushushu wa shirika la kijasusi wa uingereza kama sijakosea. Walimuua halafu wakamuweka kwenye begi halafu begi likafungwa kwa ndani mpaka leo wale wauaji hawajajulikana
 
Hivi Mtoa mada uliwai mskia mtu mmoja anaitwa D.B COOPER?😀
Huyu bwana hata sura hawakuijua, aliyeyuka, kuna na mastermind mmoja alishirikiana na wazee wastaafu kuiba benki nae mpaka kesho hawajampataga..

Mleta uzi kattaja kesi ambazo watekelezaji sio pro, makosa kibao ya kiufundi. Jitu limeua na linaacha panga eneo la tukio, huyo Hamis ndio hamna kazi kabisa.

Bongo sijaonaga kesi za wale serial killers, wale ndio huwa professionals maana kuua kwao ni burudani.
 
Hiyo ni kwa bongo tu

Refer to Jamal khashoggi assassinated 2 Oct 2018 in Instanbul Turkey aliingia ubalozini tu na hakutoka tena huko mkewe mtarajiwa akimsuburi nje ya ubalozi for many hours
Jamal si ilikuwa wazi kabisa mpaka ushahidi wa cctv camera kabisa...Na mkewe alisubiri sana nje , inasemekana alikatwa katwa vipande.
 
Ni kweli Kila tukio huacha alama,

Ila zipo kesi kibao mpk leo zimekosa alama na hazijawa solved.

Marekani Wana utaratibu, kesi ikizidi miaka 100 haijasoviwa, Hilo faili wanafunga.
Hizo complicated cases ni za wataalamu wa mauaji ila hawa wanaoua kwa kupanik wnashikwa sana ...Hawajui kufuta alama ,hitmen wanaandaa script nzima ya kufanya tukio mpaka muda na dk zake.
 
Huyu bwana hata sura hawakuijua, aliyeyuka, kuna na mastermind mmoja alishirikiana na wazee wastaafu kuiba benki nae mpaka kesho hawajampataga..

Mleta uzi kattaja kesi ambazo watekelezaji sio pro, makosa kibao ya kiufundi. Jitu limeua na linaacha panga eneo la tukio, huyo Hamis ndio hamna kazi kabisa.

Bongo sijaonaga kesi za wale serial killers, wale ndio huwa professionals maana kuua kwao ni burudani.
Bongo hamna hapa wengi wanaua kwa panic .
 
Back
Top Bottom