Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Soma nilichoandika na siyo kutoa maoni yao bila kulielewa andiko langu.sheria katika nini? Nimekuandikia andiko langu na kuweka hadi mifano na ufafanuzi wa kina.
Zingatia katiba ya nchi na katiba ya chama, kinacho fuatwa ni katiba ya chama inasemaje sio utamaduni wa maneno, utanielewa hukooo mbele mbele huko
 
Embu acha utoto wa kutuletea habari za kitoto za shuleni kwenye jukwaa la watu wazima,wasomi na wenye kupevuka akili .hizo habari nenda kajadiliane na wenzako wa rika lako na siyo kutuchukulia sisi kama wanafunzi wenzako wenye mawazo ya kiwanafunzi.hapa tunajadili mstakabali wa Taifa letu.
 
Zingatia katiba ya nchi na katiba ya chama, kinacho fuatwa ni katiba ya chama inasemaje sio utamaduni wa maneno, utanielewa hukooo mbele mbele huko
Kwani ni wapi katiba ya Nchi inamzuia Mama yetu shujaa wa Afrika kuongoza Muhula wa pili?taja hicho kifungu
 
Mi wala sikulaumu, ni kiwango cha njaa zako na dignity level uliyonayo inaamua uwe mwanaume au mtu na utu wake, au uuze utimamu wako!

Speaking of high level bullshit, nafikiri wewe unaongoza!

Lucas Mwashambwa
 
Mwaka 2025 Mama atagombea kwa Tiketi ya CCM na akishinda Uchaguzi ambao ni obvious atashinda hicho ndicho kitakuwa kipindi chake cha kwanza Rasmi cha miaka mitano !
Kisha 2030 akitaka kugombea tena kipindi cha pili atafanya hivyo !

Hapo vipi kwa wale wenye kuumezea mate Uprezidaaa ndani ya Chama letu ???!
Nadhani wengi wao Umri utakuwa umeshawatupa mkono 😳🙄

Ama kweli Waswahili walisemaga “ mkamia maji hayanywi “ 😅😂🙌👍

Au nasema uongo ndugu zanguni ???! 😱 !
 
Mi wala sikulaumu, ni kiwango cha njaa zako na dignity level uliyonayo inaamua uwe mwanaume au mtu na utu wake, au uuze utimamu wako!

Speaking of high level bullshit, nafikiri wewe unaongoza!

Lucas Mwashambwa
Mimi nimefanya kazi ya kuwapeni Elimu juu ya utaratibu na utamaduni wetu CCM
 
Wewe kweli ni chawa mkosa weledi. Tangu lini wewe ukawa msemaji wa wanaCCM wote? Ni wapi na lini mlifanya mkutano wa wanaCCM wote, halafu kukawa na maamuzi hayo, na wewe ukachaguliwa kuwa msemaji wao?

Au ni lini ilithibitika kuwa anachowaza Lucas ndiyo wanachowaza wanaCCM wote? Kwa nini usingekuwa unatafuta hoja zinazoonesha una upeo wa akili kuliko kudhalilisha utu wako kwa hoja za kipuuzi? Kwa nini uwadhalilishe wazazi wako kwa kiwango hiki!!
 
Umesoma andiko langu au umekimbia mbiombio kutoa maoni yako kama kawaida yenu Upinzani msiojitambua?
 
hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .
Kwani wewe unawajua wana ccm wote hadi uwasemee?!!

Akijitokeza mtu kuchukua fomu ya kugombea dhidi ya Sa100 mtamteka?
 
Tufuate utamaduni au katiba, haki na uhuru?
 
Akijitokeza mtu kuchukua fomu ya kugombea dhidi ya Sa100 mtamteka?
Majibu yako yapo katika andiko langu.Lakini kila mwana CCM anafahamu utaratibu wa CCM.huwezi ukawa mwana CCM hai na usielewe jambo dogo kama hilo kuwa Mwakani anayestahili kuchukua Fomu ya Urais ni mmoja tu ambaye ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Usiusemee moyo
 

Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…