Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka umepandisha uzi mana yake una hofu, na hofu yako ni kweli kwasababu 2025 Raisi atakuwa mwanaume.
Hofu ya nini? Kazi yangu ilikuwa ni kuwapeni taarifa na ufafanuzi ili muelewe vyema.
 
Vyama binaongozwa na katiba sio utashi binafsi wala utamaduni.....jinsi mnavyompamba mnaogopa nini kumshindanisha wana ccm? Hofu yenu nini ? Mnaogopa kivuli chake....
Hatumpambi bali kazi zake nzuri Ndizo zinampamba kama Bibi harusi.
 
😂😂😂 dah pazto sasa ili mtuaminishe nyie ndyo bab na mam Wa democrasia nchni watiania wanatkiwa kuwa zaid ya 50 alaf mpge kura mpitishe moja kwa haki ndyo tutajua hz uchaguz ainaga uwz wakura
Kauli ya CCM na wana CCM wote ni kuwa tuna Imani kubwa sana na Rais Samia na ndiye Mgombea wetu wa Urais hapo Mwakani katika uchaguzi Mkuu.
 
Inatakiwa wajitokeze wengine wengi, ila chaguo lenu mkutano mkuu awe Samia.

Munatakiwabmuwe mfano mzuri wa democrasia.

Usisahau Botswana chama Tawala Chali baada bya miaka 58 madarakani.
What gooes around comes around
CCM ni kama Damu katika Mwili wa Mwanadamu.CCM ndio Damu ya Taifa letu .huwezi ukaitoa yote na ukabakia na uhai.kinachifanyika ni kuchangia kmdamu kiasi kwa wenye uhitaji .ndio maana huona upinzani walipewa viti vya hapa na pale vya ubunge na udiwani na uwenyeviti wa mitaa na vitongoji
 
W
w kama Nan? Mbona unavunja katiba Kwa kuzuia watu wasichukue form? Kwa nn unazuia watu kuchukua form ,mm nlienda kuchukua si nitakua nimetimiza haki yang ya kikatiba?
 
W
w kama Nan? Mbona unavunja katiba Kwa kuzuia watu wasichukue form? Kwa nn unazuia watu kuchukua form ,mm nkienda kuchukua si nitakua nimetimiza haki yang ya kikatiba?
 
Kinachofuatwa kugombea Uongozi wowote ndani ya CCM ni Katiba ya CCM na si utamaduni. Yeyote anayedhani ana sifa agombee Uongozi kwa mujibu wa taratibu za CCM na si kutafuta njia ya mkato. Kwenye Uchaguzi mambo ya kupita bila kupingwa hayakubaliki.
 
Samahani Bwana mkubwa,
Hivi mwanaccm mwingine akichukua hiyo moja mtakayochapisha kabla ya Mtarajiwa hajachukua mtafanya nini?
 
Sasa mikwara ya nini? Vipi kuhusu February habari zake hujazipata bado?
Mimi naona ccm wakiruhusu ushindani kwamba Mama ashindane na wana ccm wenzie obvious ataanguka..ndo mana walijiwekea utamaduni mtu asishindane na rais aliyepo..ila nahisi katiba yao haitambui huo utaratibu..wakitokea wanaccm fyatu watataka ushindanishwaji
 
Uliwahi kuwaza Mkapa na Magufuli walichuku form kivipi? Ulisha kuwaza hayati Lowasa alivyotoswa kiti na best man wake? Au ulisha kuwaza kauli ile ukitaka nchi ituloe kaa na wazeee? Au ulisha wahi kuwaza kifo cha Magufuli? Chini ya mwanzilishi wa Taifa hili hayati Nyerere hakuna alie juu ya chama wala .........
 
Hatumpambi bali kazi zake nzuri Ndizo zinampamba kama Bibi harusi.
Toeni form k2a wengine wapambane kwa hoja mnaogopa nini ?? Mkimbikingiq mnadhihirisha kuwa empty set ....atakuwa mgombea ambae hakushindanishwa .....katiba mnasigina sababu njaa zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…