Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Toa ujinga wako hapa wewe.Kama unaumia basi hama nchi.lakini watanzania tuna tamba na Mama hadi 2030.
Ngoja tuone kama utatamba naye wapi. Maana kama ni chawa wake labda mtakua pamoja huko kizimkazi akiwa amestaafu urais.
 
Huo ndio Uamuzi wetu wana CCM.
Uamuzi huo umo kwenye katiba ya chama?
Fomu ni moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
Je asipofika au akaghairi kugombea fomu mtachapisha kwa ajili ya nani?
Uchapakazi wake umeliletea maendeleo Taifa letu na hatuna sababu ya kumfikiria Mwingine zaidi yake Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania
Kama ameleta maendeleo kwanini asikubali ushindani ?

Maendeleo ni suala mtambuka.

Mambo ya fomu moja ni enzi za Joseph Mobutu , Daniel Moi kwahiyo unakiri CCM inaendeshwa kiimla?
 
Huko ni kudidimiza democracy ndani ya chama mkiogopa mimi nitachukua form kujipima na mheshimiwa raisi nione nakubalika kwa kiwango gani
 
Acha kufananisha Mlima na Vichuguu. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.huwezi kuitenganisha CCM na uhai wa Taifa letu.CCM ni kama ngozi ya Binadamu.huwezi ukamchuna ngozi mtu halafu abakie kuwa hai.CCM itaongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.
Unatudhalilisha sana watu tuliosoma Udsm
 
Awamu ya marehemu ndo ishaisha, sasa hivi ni mpambano mpya...masuala ya eti kumsaidia mama abdul hayo hayapo ...apambame kama ana uwezo...

CCM 2025 Oyeeeee !!
 
Naona bundi limeshatua kwenye mti JFuni na sasa linaunguruma
 
Mimi Nina mgombea wangu mfukoni so jiandaeni Kwa surprise Babu kubwa
 
Awamu ya marehemu ndo ishaisha, sasa hivi ni mpambano mpya...masuala ya eti kumsaidia mama abdul hayo hayapo ...apambame kama ana uwezo...

CCM 2025 Oyeeeee !!
Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia hapa Nchini katika sanduku la kura.
 
Awamu ya marehemu ndo ishaisha, sasa hivi ni mpambano mpya...masuala ya eti kumsaidia mama abdul hayo hayapo ...apambame kama ana uwezo...

CCM 2025 Oyeeeee !!
Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia hapa Nchini katika sanduku la kura.
 
Huko ni kudidimiza democracy ndani ya chama mkiogopa mimi nitachukua form kujipima na mheshimiwa raisi nione nakubalika kwa kiwango gani
Unda chama chako ndio ukachukue Fomu.lakini CCM Fomu ni Moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…