kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Ngoja tuone kama utatamba naye wapi. Maana kama ni chawa wake labda mtakua pamoja huko kizimkazi akiwa amestaafu urais.Toa ujinga wako hapa wewe.Kama unaumia basi hama nchi.lakini watanzania tuna tamba na Mama hadi 2030.