BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Bado sijaacha.Nyumbu katika ubora wake!! Vipi ule mchezo wako umeshaacha?
Bado sijaacha.Nyumbu katika ubora wake!! Vipi ule mchezo wako umeshaacha?
Acha kukariri!Ulishaona wapi au kusikia mpindua nchi anaenda kutangaza nia yake kwenye media kabla ya kupindua? Nyumbu mnashida sana.
HongeraBado sijaacha.
Wewe kafundishe watoto huko!!Acha kukariri!
Ahsante sana Afande Muliro.Hongera
Angalia lakini wasije wakakuvunja kiuno wanaume washoka!!Ahsante sana Afande Muliro.
😂😂😂😂😂😂 niko makini.Angalia lakini wasije wakakuvunja kiuno wanaume washoka!!
Tunatiki.😂😂😂😂😂😂 niko makini.
Vipi, Oktoba utatiki?
Chura kiziwi akiendelea kukaza fuvu atadhalilika sanaKwa uzoefu wangu huo, kwa vyovyote hii itakuwa ni sauti ya kundi la wanajeshi wasiokubaliana na mambo yanavyoenda, na bila shaka wamejiandaa kwa matokeo
Wewe ni mjinga...
Nimeangalia taarifa ya habari usiku huu; nilichogundua huyo ni mwanajeshi wa JWTZ.Hakuna mwanajeshi fala. Hadi kafanya hivyo jua tu kila kitu kiko sawa
Tuliza kinyeo hicho ndugu kiharusiPropaganda.
Umekosea kuleta bandiko lako.
Anagombea ubunge nafasi ya Uwaziri MkuuPropaganda.
Umekosea kuleta bandiko lako.
Huyu muda si mrefu watamfurahisha yeye na network yake yote.Anagombea ubunge nafasi ya Uwaziri Mkuu
sema hivyo hivyo tu! utaelewa baadae