Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nimeona Tanzania mkuu. Usikariri eti kila kitu lazima kifanane kama mikyundu lahasha kila kitu huja kwa njia zake.Ulishaona wapi au kusikia mpindua nchi anaenda kutangaza nia yake kwenye media kabla ya kupindua? Nyumbu mnashida sana.