Hakuna Mwanajeshi pekee yake anaweza kutoka hadharani na kutoa kauli Hii, akiwa Pekee yake

Kwa uzoefu wangu huo, kwa vyovyote hii itakuwa ni sauti ya kundi la wanajeshi wasiokubaliana na mambo yanavyoenda, na bila shaka wamejiandaa kwa matokeo
Chura kiziwi akiendelea kukaza fuvu atadhalilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…