Hakuna Mwanajeshi pekee yake anaweza kutoka hadharani na kutoa kauli Hii, akiwa Pekee yake

Na kauli hii hainishangazi, ninachoshamgaa ni ujasiri wa huyu ofisa wa jeshi kuyatamka haya hadharani. Inavyoelekea kuna chuki kubwa na kutokukubaliana na maduala ya udhulumaji haki yanayoendelea nchini, ndani ya jeshi. Kuna siku mmoja tukiwa kwenye shughuli za kijamii, afisa mwingine wa jeshi pua alitamka jeshi wanavyoudhiwa na hali inavyoendelea nchi hasa udhulumaji haki.
 
Hata press realise husaijiwa na mmoja lkn mmazimio ni ya kikao kilichotimia idadi takiwa ya wahudhuriaji!
 
Binafsi, pamoja na kupitia JKT ile ya mwaka mmoja, na kisha kujiunga na JWTZ, na kisha kuachana na Jeshi, lakini kabla yake niliwahi kupata mafunzo kadhaa nje ya nchi ya masuala ya uongozi jeshini. Kwa uzoefu wangu huo, kwa vyovyote hii itakuwa ni sauti ya kundi la wanajeshi wasiokubaliana na mambo yanavyoenda, na bila shaka wamejiandaa kwa matokeo.
 
Mchawi katika ubora wake!! 🤣
 
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.

Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.

Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.

Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.

Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.
P
 
Cpt Tesha angetokea bila combat na angejitambulisha kuwa ni mwanajeshi hadi dakika hii machawa wangekuwa wamelipwa kusema ni kada wa CHADEMA na sio mwanajeshi.

Saa hizi wanaishi katika kichaka cha AI.
 
Mnafiki katika ubora wako.

Vipi hawa nao ni feki na wanalichafua jeshi?


View: https://youtu.be/bvrk_J8F7OU?si=fqcnV8mZ9qdc6dja
 
Natural mystic 💪
 
Hujui chochote wewe.

Captain John Charles Tesha....


‼️🚨CONFIRMED CAPTAIN JOHN CHARLES 🚨‼️
Imethibitishwa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353

Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni “active” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce
 
The day of reckoning will come, that count down began in June 2021.

Only that, the telling signs are becoming obvious.

That day is inevitable
 
Mchawi katika ubora wake!! 🤣
Mimi sio mchawi tena! Niliacha ndumba na kukokoka! Sirogi wala kufanya ushirikina tena! Siku nikirudi bongo nitakualika kanisani kwetu ushiriki ibada ya kuinuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…