Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nimeona Tanzania mkuu. Usikariri eti kila kitu lazima kifanane kama mikyundu lahasha kila kitu huja kwa njia zake.Ulishaona wapi au kusikia mpindua nchi anaenda kutangaza nia yake kwenye media kabla ya kupindua? Nyumbu mnashida sana.
Mafisadi watalia na kusaga menoPropaganda.
Umekosea kuleta bandiko lako.
Khaa, we ndo fala kumbe hata hujitambui🚮🚮Huyo atakuwa mwanajeshi fake au ana matatizo ya afya ya akili. Unataka kupindua nchi uende kwenye media!!! 🤣🤣🤣
Wewe ulishamuona Mchaga anajitoa mhanga kupigania watz? Mchaga kazi yake ni madeal tu ya pesa.Khaa, we ndo fala kumbe hata hujitambui🚮🚮
Huyu sio wewe ?? Leo umemtambua Tesha kama mtu halisi na sio AI?
Hayo siyo maandishi yangu na hakuna nilipoandika sentensi "Tesha ni AI"Huyu sio wewe ?? Leo umemtambua Tesha kama mtu halisi na sio AI?
Mtaalam wa kukana maandishi yako! kipindi hiki mtakana na kukanusha ila rekodi tunazo.Hayo siyo maandishi yangu na hakuna nilipoandika sentensi "Tesha ni AI"
Acha uzushi weka ushahidiMtaalam wa kukana maandishi yako! kipindi hiki mtakana na kukanusha ila rekodi tunazo.
Ushahidi gani unataka zaidi ya huo?Acha uzushi weka ushahidi