Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Unazani sasa hapo Nini kifanyike kama si kumiachia MUNGU tu kaka, hakuna wa kumzuia demu asilombwe hakuna nikua mpole tu unavunja ndoa basi, kama unaogopa aibu nk unabeba mzigoTunakimbizana na mambo yasiyo na maana mwili unapoteza sababu ya kuishi muda mrefu. Sasa mfano, mtu unakimbizana na mapenzi umesomesha binti, umemtoa na bikira, umewekeza kwake pesa kibao, umeoa halafu unakuja jua mtoto aliyezaa si wako, nini kinafata kama sio mapresha? Wakati huyo binti wala kwake sio big deal zaidi ya kujiliza liza.