Unayoongea yana make sense, lakini mkuu namna jamii ya Tz ilivyo kamchanganyikeni, wadhani issue ya kuoa bikira ni jambo jepesi kama unavyolihariri kwenye simu?
Sisi kwetu, ni marufuku kijana kumkaribia mchumba, hadi watakapofunga ndoa.
Na ukijidanganya kumrubuni na kwenda kumuonja msichana kabla ya ndoa, mwenye kupoteza utakuwa ni wewe na hilo linaeleweka.
Ushauri wako ungeulekeza kwa single mother tu, suala la bikira za wasichana ni mtambuka sana, kwa sababu kuna makabila mengine kwa mfano, bikira za wasichana hutolewa kwa kutumia ndizi na si kwa kufanya mapenzi ili 'mkwe' asije enda kuhangaika, hapo utasemaje, maana ni tamaduni.
Hili la vijana kujiepusha kuoa wanawake waliokwisha kuzaa lipo sawa.