Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ndg zangu Kheri iwe nanyi
Wanaume jambo la msingi na muhimu inatakiwa tujue sisi ME ni wachache sana ukilinganisha na wenzetu KE hivyo tunapoleta Uzi humu kuwaasa na kupeana mbinu na ushauri si kwa ubaya hii itakusadia wewe walau ku survive na kuishi maisha ya Furaha na pia kuepukana na yanayo epukika.
Nilileta kisa humu Jf kuwa jamaa alifuma msg kwenye simu ya mke wake na Kisha simu ya mke wake akaivunja mbele yetu majirani tukiona kwa macho ilikuwa ni pixel 7 kama sijakosea.
Nikisema jamaa tulimwambia peleka kwao huyu mwanamke maana mshikaji alikuwa anadai anaua mtu nk.
Kweli alimpeleka nayeye wakaenda nae Kisha yeye jamaa alirudi hatukutaka kujua yaliyo endelea huko ukweni lakini mwanamke amerudi kwa mshikaji na maisha yanaendelea.
Daima hatupangiani namna ya kuishi Bali huwa tunashauliana tu. Huyu jamaa siku tukiwa pale sisi kama mashuhuda watukio ni kweli angemdhuru yule mke wake hata kama asinge muua basi angemfanya mbaya sana washukuliwe walio wahi pale kwake kusuruhisha. Hii ndoa itakuwa ya mashaka shakani hasa kwa mwanaume maana daima ataishi akijua anagongewa na huenda ugovi usiishe.
Hii ni Moja ya sababu mwanaume hataishi kwa furaha ukiangalia uwezo wa kiuchumi anao jamaa ana maduara nyumba nzuri nk uwezekano wa kuoa mwanamke amtakaye ni mkubwa mno na hata umri si mkubwa.
Mwanaume unapozaa na mwanamke na Kisha usimuoe (kuishi naye) amini nakuambia atakusema kwa ubaya woote unaoujua wewe lakini mwisho wa siku ukimuhitaji wewe hakika atakupa tu bila riba wala kamisheni yoyote Ile.
Haijarishi mwanamke huyo atakuwa kaolewa au Bado hajaolewa siku ukimiss tu utapewa tunda la utamu.
Kitu pekee ambacho kitarinda ndoa ya mwanaume mwenzako kutoka kwa mzazi mwenzio (mke wake) Ni Wewe kuwa na msimamo thabiti kuwa yaliyopita si ndwele au ukaishi mbali na hata nje ya nchi hapa ndoa ya jamaa itakuwa na uahueni basi ili ndoa isiwe na kikwazo kutoka kwako itabidi ufe ikibidi na kabuli lako lijengewe zege na vigae kwa juu.
Wanaume simple humuoa mwanamke single mother kwa kumsikiliza namna anavyomlaani mzazi mwenzake utadhani anayo yaongea Yana ukweli wowote kumbe maigizo tupu.
Unapooa single Maza elewa tu kuwa HAIWEZI IKATOKEA MWANAMKE AKAZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA LABDA TU AWE ALIBAKWA NA WENGI IKITOKEA HIVYO HUTOA MIMBA KWA GHARAMA YOYOTE ILE HATA KAMA ITAGHARIMU UHAI WAKE.
Furaha ya single mother huja pale Mzazi mwenzie anapomkumbuka mtoto wake single Maza hata ukimuita kutoka Dar hadi kigoma ataenda kwa mzazi mwenzake Trust me.
Mwanamke ana mthamini sana mwanaume aliyezaa nae mtoto wa kwanza na kumpa sifa ya kuitwa mama ninyi wengine mtakao fuata hamtakuwa na maajabu yoyote Yale Yale kwake maana kila kitu utakuta wengine wamemfanyia .
Bikira hana na kuzalishwa amezalishwa sasa wewe na uanaume wako utakuwa na maajabu gani kwenye mwili wake ukiambiwa unakasirika yakikukuta unaleta Uzi humu unalia kuomba ushauri usio kuwepo maana ulipuzia.
Bila shaka kila mara mkuu Natafuta Ajira Robert Heriel Mtibeli Xi Jinping na wengine tumekuwa tunawaambia hulka ya mwanamke alivyo na tumejitabanaisha wazi kuwa si single mother pekee Bali hata mwanamke asiye bikira amepoteza sifa ya kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake!
Mtapinga,mtachochewa na mihemko ila mwisho wa siku utakuja kukumbuka haya bahati mbaya utakuwa umechelewa sana.