Hakuna mwanamke anayeweza kuzaa na mwanaume asiyempenda ni swala la muda kitakulamba tu

Unazani sasa hapo Nini kifanyike kama si kumiachia MUNGU tu kaka, hakuna wa kumzuia demu asilombwe hakuna nikua mpole tu unavunja ndoa basi, kama unaogopa aibu nk unabeba mzigo
 
Reactions: Tsh
Mungu alimua kumchagua BIKIRA aliyeliwa anaitwa Mariamu ili amzae yesu. Nadhani angekuwa na mtazamo wako yesu angezaliwa hata na kahaba.
Kwani MUNGU alimuoa Mariam? Si ni Yusufu alijibebea single mother wake maisha yakaenda? angekuwa na mtazamo wako angemkimbia Mariam.

Kama Yusufu aliweza kumsitiri Bikira Maria aliyebeba mimba ya roho mtakatifu sasa kuna ubaya gani Hassan akimsitiri bikira Chausiku aliyebeba mimba ya fundi maiko?
 
Unazani sasa hapo Nini kifanyike kama si kumiachia MUNGU tu kaka, hakuna wa kumzuia demu asilombwe hakuna nikua mpole tu unavunja ndoa basi, kama unaogopa aibu nk unabeba mzigo
Usiishi na mwanamke asiyekupa furaha, hamna aibu kwenye kumuacha mwanamke. Aibu unaitengeneza kichwani kwako. Yaani mwanamke kagawa huko nje mimi nione aibu kuachana naye? Hahaha, mkuu acha masihara.
 
Msiwafanyie hivyo single mother nao wanatafuta sehemu ya faraja baada ya kuachwa bila uelekeo,


Hivi ukifanya jambo unalikomalia unakaza weee wakati dunia yenyewe hii tunapita tu hatuishi milele furahia nyakati unazopita maisha ni mazuri sana ukiwa unachukulia mambo kwa mtazamo chanya na poa tu
 
Hii ni Nature huku kwetu tunasema ng'ombe mzazi akimlamba mwanae hawezi mkataba kamwee. Ndo hivyo sasa
Bi maza aliletewa kamkasa na kajamaa fulani kametengana na mkewe akamsikiliza scenarios zake walivyookotana mwanamke wa aina gani akagundua kua mwanamke alikua kashamegwa sana before hajawa na jamaa akamwambia kwamba "sisi wanawake tulivyo ni hivi tukiwa tumeshatembea na wanaume wengi yule mwanaume wa mwisho anaejitosa kuoa ndio anakua mchovu wetu yule wa mwisho ndio anakua mwanaume wa kulipwa mabaya yote ya wanaume waliotutenda yaan hataacha kuziona rangi zote ambazo hajawahi kuziona atapata funzo la karne ukitaka hivi anakwambia sio hivi ni hivi halafu sababu anakujua wewe mchovu utafanya vile yeye anavyotaka tu" mwisho wa kunukuu
 
Haipingwi
 
Usiishi na mwanamke asiyekupa furaha, hamna aibu kwenye kumuacha mwanamke. Aibu unaitengeneza kichwani kwako. Yaani mwanamke kagawa huko nje mimi nione aibu kuachana naye? Hahaha, mkuu acha masihara.
🤣🤣 Maneno makali sana lakini yamesonga mbele sana. Hata Mimi ningekua team yenu ningeyatumia kama national anthem...
 
Reactions: Tsh
[emoji1787][emoji1787] Maneno makali sana lakini yamesonga mbele sana. Hata Mimi ningekua team yenu ningeyatumia kama national anthem...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ila inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…