Hakuna mwanamke asiyechepuka

Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
Kwa asili wanawake wote? Mke wa Adam(Hawa/Eva) alitembea na nani zaidi ya Adam. Wanawake waliookoka kikwelikweli wanatosheka na waume zao. Kutembea nje ya ndoa ni dhambi. Ni uzinzi. Wazinzi watatupwa katika moto wa milele siku ile ya mwisho.
 
Sasa hicho unachokifanya nao hufanya hivyo hivyo wanawake nao ni watu kama wewe, ishi nao kwa akili
 
Kwanza,nisaidie kuniombea msamaha kwa wifi yako maana sikuhizi amevuta mdomo....!!


Kupigana sababu ya nini tena?🤣
Sababu hiyo….

Hebu muite wifi tutete hapa, Umemfanyaje? Tatizo unazingua.

Ondoka hapo Tandale njoo Link hapa tukae kikao cha familia!
 
Mimi ni mwanamke, niliolewa nikiwa 22 years na sasa niko 30+ na sijawahi kuchepuka pamoja na kwamba najua mume wangu kuna kipindi alichepuka

SIJAWAHI KUCHEPUKA
Uliwezaje kuishi nae baada yakujua mwenza wako kachepuka.
 
Ndo maana nimekuambia kila binadamu amekamilika lakini ukitaka wewe kutokamilika ni wewe tu usidanganye mwanadamu wote
 
Kama una mwanamke aliye deep sana kwenye dini ya Kikristo, kindakindaki - analiwa -
 
Hili naweza nikaafikiana nalo. Mwanamke hapendi bila sababu😀
 
Sema cha kushangaza akikutana na mtu mpya hizo ashki anazipata vizuri tu na ndio tatizo huanziaga hapo.🤣

Ili usipate shida ishi kama Mhandzabe tu na mke wako. Akiwa kwako ni wako ila akipigwa pumbu nje vaa miwani ya mbao. Akikua ataacha tu.
 
Ndo maana nimekuambia kila binadamu amekamilika lakini ukitaka wewe kutokamilika ni wewe tu usidanganye mwanadamu wote
acha uzinzi sasa na usisingizie shetani kwa tamaa zako binafsi za kimwili 🐒
 
Ila kama ulimkuta bikira, hachepuki,anajua wanaume wate wapo kama wewe. Na si vingenevyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…