Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
Kwa asili wanawake wote? Mke wa Adam(Hawa/Eva) alitembea na nani zaidi ya Adam. Wanawake waliookoka kikwelikweli wanatosheka na waume zao. Kutembea nje ya ndoa ni dhambi. Ni uzinzi. Wazinzi watatupwa katika moto wa milele siku ile ya mwisho.
 
Hiyo kinyume chake ndio kweli....mwanamke kutoka nje ya ndoa yake kuna tatizo mahali na Mara nyingi linatokana na huyo mume wake.....ila kwa sisi wanaume haijalishi mkeo ni mrembo na ana maadili, utatoka kuangalia je wasio na maadili wakoje,,,,kama mkeo ni mwembamba utajaribu wanene wana ladha gani...yaani ni tamaa kwa kwenda mbele na hasa kama una vijipesa.
Sasa hicho unachokifanya nao hufanya hivyo hivyo wanawake nao ni watu kama wewe, ishi nao kwa akili
 
Kwanza,nisaidie kuniombea msamaha kwa wifi yako maana sikuhizi amevuta mdomo....!!


Kupigana sababu ya nini tena?🤣
Sababu hiyo….

Hebu muite wifi tutete hapa, Umemfanyaje? Tatizo unazingua.

Ondoka hapo Tandale njoo Link hapa tukae kikao cha familia!
 
Mimi ni mwanamke, niliolewa nikiwa 22 years na sasa niko 30+ na sijawahi kuchepuka pamoja na kwamba najua mume wangu kuna kipindi alichepuka

SIJAWAHI KUCHEPUKA
Uliwezaje kuishi nae baada yakujua mwenza wako kachepuka.
 
Mungu alishakamilisha kazi yake gentleman,

mdhaaifu ya kibinadamu kama vile kiburi na tamaa ndiyo mapungufu hasa ambayo nayamaanisha ambayo waanzilishi wa haya yote ni Adam na Eva, ambao kwa kiburi na tamaa walipuuza maagizo na maelekezo ya Mungu pale bustanini 🐒
Ndo maana nimekuambia kila binadamu amekamilika lakini ukitaka wewe kutokamilika ni wewe tu usidanganye mwanadamu wote
 
Kama una mwanamke aliye deep sana kwenye dini ya Kikristo, kindakindaki - analiwa -
 
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa kuhusu wanawake
Mwanamke always ukiona amekukubali ujue kuna kitu amekipenda kutoka kwako mwanamke hajawahi kupenda mtu bila sababu yeyote ya msingi

Sasa tafiti iko ivi ukiona mwanamke ametoka nje ya ndoa ujue kabisa kuna kitu alikuwa anakipata kwako alafu kwasasa anakikosa hiyo inaweza kuwa sababu ya mwanamke kutoka nje ya ndoa cha pili vurugo nazo zinachangia wanawake kutoka nje ya ndoa kwa ufupi mwanamke yeyote yule hawezi kutoka nje ya ndoa bila sababu kwa ufupi sio wote ambao wanatoka kuna wengine wanajiheshimu
Hili naweza nikaafikiana nalo. Mwanamke hapendi bila sababu😀
 
Sio wote huo ndio ukweli.
Hivi unajua kuna wanawake wengi tu Hawana msisimko ya tendo la ndoa ?!
Unayo Habari wanawake wengi kwenye ndoa ashki zilishakata zamani sana na ndio maana wanaume wengi wakitaka tendo la ndoa toka kwa wake zao ni kwa mbinde.
Sema cha kushangaza akikutana na mtu mpya hizo ashki anazipata vizuri tu na ndio tatizo huanziaga hapo.🤣

Ili usipate shida ishi kama Mhandzabe tu na mke wako. Akiwa kwako ni wako ila akipigwa pumbu nje vaa miwani ya mbao. Akikua ataacha tu.
 
Ndo maana nimekuambia kila binadamu amekamilika lakini ukitaka wewe kutokamilika ni wewe tu usidanganye mwanadamu wote
acha uzinzi sasa na usisingizie shetani kwa tamaa zako binafsi za kimwili 🐒
 
Ila kama ulimkuta bikira, hachepuki,anajua wanaume wate wapo kama wewe. Na si vingenevyo!!
 
Back
Top Bottom