Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Usiwajumuishe wote kama unawajua vile kama umesalitiwa wewe na huyo wa kwako usiwahukumu wengine zaidi sana ujifunze kutokujumuisha unapotoa maoni yako kuhusiana na kitu
Changia hoja,acha kudhania eti kama umesalitiwa ni wewe,huo ni uchanga katika uwezo wa kuchangia hoja na kama huwezi kuchangia badi kaa kinya tu,sio lazima
 
Wanawake kuchepuka kwao ni rahisi sana ukijenga nao mazoea hasa sehemu za kazi. Hasa asubuhi kali na jioni kwenye changing rooms. Ilee ya kugusisha ukuta na kuchuma mboga.

Halafu unapishana nao mtaani kama mmoja nilikutana naye supermarket na mume wake supermarket wameshikana mikono kwa mahaba na upendo nimecheka tu .

Tukataeni ndoa asee.
kuchepuka kwa mwanamke hakufanyi watu wasioe au kuolewa
 
Hiyo kinyume chake ndio kweli....mwanamke kutoka nje ya ndoa yake kuna tatizo mahali na Mara nyingi linatokana na huyo mume wake.....ila kwa sisi wanaume haijalishi mkeo ni mrembo na ana maadili, utatoka kuangalia je wasio na maadili wakoje,,,,kama mkeo ni mwembamba utajaribu wanene wana ladha gani...yaani ni tamaa kwa kwenda mbele na hasa kama una vijipesa.
 
Wanawake kuchepuka kwao ni rahisi sana ukijenga nao mazoea hasa sehemu za kazi. Hasa asubuhi kali na jioni kwenye changing rooms. Ilee ya kugusisha ukuta na kuchuma mboga.

Halafu unapishana nao mtaani kama mmoja nilikutana naye supermarket na mume wake supermarket wameshikana mikono kwa mahaba na upendo nimecheka tu .

Tukataeni ndoa asee.
Sasa hapo ndio umeongea nini?
 
Ujinga ku generalized experience yako.
That is your own experience usiilazimishe iwe ya wengine.
sasa hapa mjinga ni nani,mimi nimetoa maoni wewe unakuja tu vuupu na kudai kuwa mawazo haya ni ya kijinga,tujifunze kutoa maoni na pia kuvumilia hoja za wengine hata kama hatuzupendi
 
Usiwajumuishe wote kama unawajua vile kama umesalitiwa wewe na huyo wa kwako usiwahukumu wengine zaidi sana ujifunze kutokujumuisha unapotoa maoni yako kuhusiana na kitu
Ebwana ni ukweli kuna manzi ni mke wa mtu nikaambiwa huyu ameolewa ila ni mke wa wote nikabisha siku hio nikaambiwa leo yule uliekua huamini anaenda kugongwa tena anagongwa nje kabisa nikabisha bwana weee mida ikafika akapita kuelekea kwenda kugongwa sikuamini nilichokiona siku ile yaan jamaa alimuinamisha tu kwenye chochoro akamtafuna
 
Back
Top Bottom