Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Ebwana ni ukweli kuna manzi ni mke wa mtu nikaambiwa huyu ameolewa ila ni mke wa wote nikabisha siku hio nikaambiwa leo yule uliekua huamini anaenda kugongwa tena anagongwa nje kabisa nikabisha bwana weee mida ikafika akapita kuelekea kwenda kugongwa sikuamini nilichokiona siku ile yaan jamaa alimuinamisha tu kwenye chochoro akamtafuna
Kwa hiyo kama umeona huyo ameinamishwa ndio kila mmoja 🤔🤔 nilichokataa ni hivyo kuandika kana kwamba umeona wote wakifanya kitu kama hicho na usisahau unavyo sema wanawake wote na mama yako yumo haujamuacha nyuma
 
Hiyo kinyume chake ndio kweli....mwanamke kutoka nje ya ndoa yake kuna tatizo mahali na Mara nyingi linatokana na huyo mume wake.....ila kwa sisi wanaume haijalishi mkeo ni mrembo na ana maadili, utatoka kuangalia je wasio na maadili wakoje,,,,kama mkeo ni mwembamba utajaribu wanene wana ladha gani...yaani ni tamaa kwa kwenda mbele na hasa kama una vijipesa.
asante kwa maoni yako,uko vizuri mno katika kuchangia na nadhani wewe hata kazini au mtaani unaheshimika kwa ubora wa maoni yako
 
Kwa hiyo kama umeona huyo ameinamishwa ndio kila mmoja 🤔🤔 nilichokataa ni hivyo kuandika kana kwamba umeona wote wakifanya kitu kama hicho na usisahau unavyo sema wanawake wote na mama yako yumo haujamuacha nyuma
Ebwana jamaa yupo sahihi 95% hio 5 nimewapumzisha masista wa kanisa tu wengine wote dau lako tu unakula mzigo tena wanauza mpaka mimba wanaweza wakakuuzia
 
Back
Top Bottom