Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Ebwana jamaa yupo sahihi 95% hio 5 nimewapumzisha masista wa kanisa tu
Kwamba hao masista unawajua wote tabia zao 🤔 au hao ambao unadhani ni wachepukaji ulitembea nao wewe au kwa utafiti gani uliofanya hadi useme kwamba huyo jamaa yuko sahihi 🤔
 
Inabidi ufahamu; ukiwa mzinifu ndani ya ndoa nawe mke wako watu watamzini. Kanuni ndiyo ipo hivyo!

Malipo ni hapa hapa duniani!
hii kanuni naijua,lakini sisemei kwanini watu wanachepukiana,bali nasema jinsi ke kwa asili ni wa hepukaji
 
Inabidi ufahamu; ukiwa mzinifu ndani ya ndoa nawe mke wako watu watamzini. Kanuni ndiyo ipo hivyo!

Malipo ni hapa hapa duniani!
Waislamu hawaoi wake 4 kwa bahati mbaya sababu ni uzinifu, ili unielewe lazima uwe na akili timamu km huna akili hauwezi kunielewa
 
Kwamba hao masista unawajua wote tabia zao 🤔 au hao ambao unadhani ni wachepukaji ulitembea nao wewe au kwa utafiti gani uliofanya hadi useme kwamba huyo jamaa yuko sahihi 🤔
Wewe mpaka umkute anakamuliwa ndio utaelewa
 
Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
Kwahiyo Bibi, Mama, mama zako wadogo na wakubwa, Shangazi, Dada, wadogo zako, mke kama unaye, mama mkwe wako na watoto wako kama unao ni jamvi la wageni na wanatinduliwa tu nje huko.

Kwahiyo mama yako alichepuka ndio maana ukazakowa wewe?

Nyuzi hizi ni za wanaoanza kuota vuzi. Vivuzi vikiwa vinawasha ndio huwa mnaandika huu upuuzi.

Pumbavu kabisa. Jaribu kuheshimu wanawake hutampungukiwa na kitu.
 
Soma ulichoandika,ndipo utajua mjinga ni nani
 
Sawa mzee😀
Lazima Kuna jambo limekukuta.
MI mwenzio nilimsikia shemeji ambaye mumewe anamuamini sana akimuomba coworker ambaye ni Me amfunge zipu ya suruali ambayo ilikuwa wazi. Yaani mumama mtu mzima anaomba amfunge zipu kijana yule.
 
Kwa hiyo kama umeona huyo ameinamishwa ndio kila mmoja 🤔🤔 nilichokataa ni hivyo kuandika kana kwamba umeona wote wakifanya kitu kama hicho na usisahau unavyo sema wanawake wote na mama yako yumo haujamuacha nyuma
Mama yake alitinduliwa ndio akapatikana yeye. Si unaona tabia zake ni tofauti na za Baba yake. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom