Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
kama binadamu,
tunategemeana na kwakweli tunayo mapungufu ya kiasili,

ni muhimu kustahimiliana, kuvumiliana na kusitiriana.
Tafadhali tuchukuliane kulingana na mapungufu na makosa ya kibinadamu,

tusimlaumu sana shetani,
ni muhimu kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu, na tujirekebishe na tukiweza tuache michezo hiyo, turidhike na tulichonacho 🐒
 
Mtoa mada unajisi wewe sio wa huyo anayetambulika kama baba yako nini?

Mnaokota wauza nyapu hlf unahisi unawajua wanawake wote
 
Mkuu siyo kweli!
Ukiona Mkeo anachepuka ujue wewe ni Mchepukaji.
Ukila vya wenzio lazima na wewe uliwe vya kwako!
 
Mke mtarajiwa wa jamaa yangu jana nimempita kainamishwa kwenye mwembe alivoniona akashtuka akaniambia nisimwambie jamaa... Bado kama miezi miwili wafunge ndoa.
Sasa hapo kuna mwanamke. Mwanamke unainamishwa kwenye mwembe. Hiyo ni takataka na Inaonekana we na jamaa yako wote wa hovyo.😀😀😀
 
Ukiivuka hii kanuni basi hutoweza kuumia iwapo utafumania au kuambiwa taarifa za namna hii.

Wanawake ni wachepukaji kupita maelezo na uchepukaji wao hauna gharama tu, yaani anahitajika awe hai tu.
 
Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
Uko sahihi ila utpihwa vita humu, watu wana watrust sana wake zao, ila ukweli hawaujui, never trust a woman
 
Back
Top Bottom