Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Najua watu mtapinga,ila kama ikiwa hujamkuta bikra, basi probability ya huyo mke kuchepuka ni kubwa sana. Ukitizama sasa hivi hamna watu wanao ongoza kuvunja uchumba unao elekea kuwa ndoa au ndoa yenyewe kama ma-ex,kwani ndondo zinapigwa sana na ukifanya masihala humo humo kwenye watoto wako,basi na ex nae anawake.
 
Sio wote huo ndio ukweli.
Hivi unajua kuna wanawake wengi tu Hawana msisimko ya tendo la ndoa ?!
Unayo Habari wanawake wengi kwenye ndoa ashki zilishakata zamani sana na ndio maana wanaume wengi wakitaka tendo la ndoa toka kwa wake zao ni kwa mbinde.
 
Off course wapo wanawake ambao Ashki zao zilishakata miaka mingi lakini bado wanaweza kuchepuka kwa sababu kadha wa kadha.
Mfano tamaa ya kutaka pesa, kutaka kumkomoa mumewe akizani anakutafuta Furaha yake, kutafuta uzazi n.k
Dunia ina mambo mengi sometimes.
 
sasa hapa mjinga ni nani,mimi nimetoa maoni wewe unakuja tu vuupu na kudai kuwa mawazo haya ni ya kijinga,tujifunze kutoa maoni na pia kuvumilia hoja za wengine hata kama hatuzupendi
Kuna mdau amekuuliza hata mama Yako ambae nimwanamke nae anazo hizi tabia?? Sizani kama utampa jibu,,,,ukiumizwa na mkeo usipende kukimbilia kuandika hapa,,,,kilichofanya mkeo apigwe rungu hakipo kwa wanawake wote ,,,Kila mwanamke anasababu zake na akili yake mpaka atoke nje ya ndoa Sasa ukijlisha tunashindwa kukuelewa
 
Kama mke wako anatoka halafu unasema ni wote acha habar zako hizo, wapo wanawake hawajui hiyo kitu kabisa, wewe mke wako anatoka nje ya ndoa yake? Tuhakikishie kwako kwanza.
 
Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
Kabisa wala usiache mke kisa wajuba wamesasambua mbususu ya mkeo.
Wee nawe tafuta mnyonge wako kasasambue mbususu ya mke wa mtu.
Maisha ni ngono na ngono ni maisha
 
Back
Top Bottom