Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Kila mtu atafute furaha yake kama unaona mmefikia hatua mbaya“Sasa wababa amua kuwekeza kwenye furaha ya mkeo halafu uje utoe mrejesho maana nyumba itageuka mbingu ndogo. Halafu kumbuka huyu mwanamke unayemuona Ana gubu Leo ni yuelyule ambaye ulimtongoza na ukamuona anafaa kwa ndoa.”
Katika ushauri mmbovu ambao siwezi shauri wanaume wenzangu ni huu! Wekezeni kwenye furaha zenu tu sababu hakuna kiumbe ambacho hakinaga shukurani kama mwanamke!
Unampa furaha anajiona beyonce anakupanda kichwani anaenda kugongwa na bodaboda wa mtaani kwenu kwa kutumia hela zako ulizompa halafu anakuona fool!