Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Hahaha nimeshangaa sana anataka tuwatreat wanwake kama queen.. trust me mpende mkeo mjali play part yako lakini usivuke mipaka yakuwa beta mael na kuanza kuwalamba lamba hawa female creature utatesekaa ...
Imani potofu
 
Me baba yangu na mama yangu wote ni waajiriwa wa serikali lakini sijawahi kuona baba akimsubiria mama anunue kitu flani kwasababu na yeye Ana mshahara. Baba anasimamia shoo mwanzo mwisho ili matumbo yetu yashibe, tuvae na tusome. Pia anasimamia maendeleo ya familia.
Bila kujali kusimamia shoo baba kwa gharama zake tena alimsaidia mkewe yani mazaa kuongezea elimu hadi kufikia kadiploma ka fani yake (awali aliishia cheti tu).
Sa why mwanaume upigie hesabu kipato cha mkeo? Yeye atoe tu akipenda ila usimlazimishe.
Ni kwasababu ya roho ya umasikini ... ingekuwa familia ya kifahari ungeoan ma budget ana ma spreadsheet gharama za nyumbani ungeona baba na mama wanashare capital kufanya mabiashara kwa ajili yenu(watoto).

Nasio sifa za kijinga eti baba anasimamia.. so mama yako anafanya kazi ili iweje ? Kama anamtegemea baba yako hat kujiendeleza kimasomo??

Linapokuja suala la familia na watoto kwa karne hii kama mama ana kazi na kipato ni lazima ashiriki kwa ajili ya watoto pia hii itachangia kubadili hali ya kiuchumi kuyoka level moja kwenda nyingjne ....

Lakini kwa bahati mbaya watu wengi masikini wana wivu zinazozaa chuki na chuki ndio huleta umasikini
Nimeandika hivyo kwa kuzingatia sera ya 50 kwa 50 mnayoipigania ...!
 
Tatizo ni 50/50 kadili mnavyo ipigania na ndivyo wanaume wanazidi kupungua. Huwezi fananisha mazingira aliyo kulia baba yako na wanaume hawa ambao siku hizi wanaharakati wenzenu wameingiza 50/50 kwenye mitaala ya elimu, mliona mnawakomoa wanaume ila siku hizi wanaume wanataka kuona 50 kwenye kipato cha familia.

Sometimes huyo baba yako alishamjua mke wake ni mbinafsi na ndio maana kaamua abebe majukumu ya familia yeye mwenyewe kupunguza gubu na kelele ndani ya nyumba. Ila swali dogo, ushawahi kujiuliza mshahara wa mama yako unaenda wapi?

Husimuone baba yako yupo kimya, unaweza kuta anapitia mengi ila anavumilia na kupuuzia kwani hela ya mwanamke chungu sana na ina maiming lkn pamoja na yote bado mnadai 50/50 wakati 50 yenu haionekani kwenye familia sometimes nyie hata mnachokipigania hamkijui.
Baba hajawahi idai.
Ila mama huwa anasaidia nduguze na wa baba ikihitajika saana
Anajihudumia mavazi yake na ya watoto (sometimes maana huwa alikuwa anaomba hela za nguo kwa baba )
Biashara zake binafsi
 
Ni kwasababu ya roho ya umasikini ... ingekuwa familia ya kifahari ungeoan ma budget ana ma spreadsheet gharama za nyumbani ungeona baba na mama wanashare capital kufanya mabiashara kwa ajili yenu(watoto).

Nasio sifa za kijinga eti baba anasimamia.. so mama yako anafanya kazi ili iweje ? Kama anamtegemea baba yako hat kujiendeleza kimasomo??

Linapokuja suala la familia na watoto kwa karne hii kama mama ana kazi na kipato ni lazima ashiriki kwa ajili ya watoto pia hii itachangia kubadili hali ya kiuchumi kuyoka level moja kwenda nyingjne ....

Lakini kwa bahati mbaya watu wengi masikini wana wivu zinazozaa chuki na chuki ndio huleta umasikini
Nimeandika hivyo kwa kuzingatia sera ya 50 kwa 50 mnayoipigania ...!
Mama anashiriki ila halazimishwi.
Na kusomeshwa ni ushauri alipewa na ofa ya kulipiwa juu. Au hujui hela ya mwanaume wako ni tamuu?? Hapa wanawake tu ndo watanielewa.
I see baba yangu amewekeza kiasi chake...
Na naweza muweka kwenye kundi la majentomen...( kama hutaki ni wewe). Endelea kutegemea hela ya mwanamke badala ya kujipanga. Ikija ndio isipokuja tena basi usiiidai kwa maandamano wala kulialia.
 
Kuipigia hesabu kwenye bajet ya familia. Kama akileta alete kwa kupenda ila isipoletwa kwenye bajeti usilie lie. Pambana kiume moshi ufuke hom. Watoto wavae, wasome na maendeleo yawepo. Huo ndo uwanaume
Kwa maelezo yako unaonekana mwanamke mtegemezi kwa kila kitu. Kazi ufanye pesa yako utoe kwa kupenda kwa ajili ya familia yako. Uliolewa kumchuma mwenza wako?
 
Baba hajawahi idai.
Ila mama huwa anasaidia nduguze na wa baba ikihitajika saana
Anajihudumia mavazi yake na ya watoto (sometimes maana huwa alikuwa anaomba hela za nguo kwa baba )
Biashara zake binafsi
Muheshimu sana baba yako japo mama yako ni mbinafsi na ndiyo nature yenu wanawake ni wabinafsi na ndio maana mwanamme akiteteleka kiuchumi,utaizona rangi zote za mwanamke yaani kwa kifupi nyumba inageuka kama kajehanam kwa mwanaume.
 
Kwa maelezo yako unaonekana mwanamke mtegemezi kwa kila kitu. Kazi ufanye pesa yako utoe kwa kupenda kwa ajili ya familia yako. Uliolewa kumchuma mwenza wako?
Kweli kabisa me ni tegemezi kwa mwanaume kwa kuwa nilitoka ubavuni mwa Adam. Pia naheshimu ile kauli ya kwamba mwanaume ni kichwa cha nyumba kwa vitendo.
 
Muheshimu sana baba yako japo mama yako ni mbinafsi na ndiyo nature yenu wanawake ni wabinafsi na ndio maana mwanamme akiteteleka kiuchumi,ataizona rangi zote za mwanamke.
Kwakweli kwa hilo la kusimamia shoo zote za home mwanzo mwisho bila maneno maneno kuhusiana na kipato cha patna wake home nimempenda bure.
 
Hahaha nimeshangaa sana anataka tuwatreat wanwake kama queen.. trust me mpende mkeo mjali play part yako lakini usivuke mipaka yakuwa beta mael na kuanza kuwalamba lamba hawa female creature utatesekaa ...
Ni wazi kabisa aisee
 
Ukikutana na mtu mnayeendana hamna shida an yote hayo yanawezekana lakini mtu ambae siyo sahihi kwako unaeza fanya hayo yote na yasionekane
 
Aangalie tu hata kwenye tamthilia flani ya dstv ile inaitwaje sijui kuna mwanaume ni Mcgarab ana mwanamke ana domo chafu na makelele mpaka sio poa!

Kuna wanawake wameumbwa na midomo tu wao ni kupiga kelele wee ukikosa amani yeye ndio starehe yake![emoji3]
Hayo makelele alikuwa hapigi kabla ya ndoa?
 
Back
Top Bottom