Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Kila mtu atafute furaha yake kama unaona mmefikia hatua mbaya
 
Kila mtu atafute furaha yake kama unaona mmefikia hatua mbaya
Hamna hatua mbaya! Tunakosea sana toka awali kwa kutokuweka standards...

Mwanamke ukimuekea standards toka mwanzo hawezi ona humjali but ataishi katika standards ulizomuwekea bila shida!

Tatizo mwanzo wengi hujifanya ni akina Romeo n Juliet kisha badae ukirudi kwenye standards zako asili unaanza kuonekana humjali!

Treating a woman good is a wonderful thing ila ina muda wake maalum sio kila mda ni wa baby sitting. There would be a time utatakiwa u concetrate na mambo yako mengine ila hapo ndipo lawama za kuanza kuambiwa hujali zinapochipukaga!
 
Sawa mkuu, tuishi nao kwa akili
 
Usifiche rangi zako toka mwanzo, tukiwa asili toka mwanzo wala hakutakua na kusumbuana
 
ishi na mwanamke Kama mwanamke tu ..!
Nakazia apa.

Usikubali mwanamke akupangie chochote ..usikubali mwanamke akupande kichwan..!
 
Me baba yangu na mama yangu wote ni waajiriwa wa serikali lakini sijawahi kuona baba akimsubiria mama anunue kitu flani kwasababu na yeye Ana mshahara. Baba anasimamia shoo mwanzo mwisho ili matumbo yetu yashibe, tuvae na tusome. Pia anasimamia maendeleo ya familia.
Bila kujali kusimamia shoo baba kwa gharama zake tena alimsaidia mkewe yani mazaa kuongezea elimu hadi kufikia kadiploma ka fani yake (awali aliishia cheti tu).
Sa why mwanaume upigie hesabu kipato cha mkeo? Yeye atoe tu akipenda ila usimlazimishe.
 
Duhh kumbeee
 
Wanaume mnazani kuitwa kichwa cha nyumba ni mchezoo?
Utakuwaje kichwa ikiwa hela ya mkeo unaipigia hesabuu?
 
Hapo sawa Uncle

Pishi lako nalisubirj 😅
 
Waambie ndugu zako
mdogo mdogo wataelewa tuu. mke n wa kukusaidia kupata mbususu regulary huku ikiwa unawinda zingine taratibu lakini sio kutegemea eti kujenga maisha nae au kusaidiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…