Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Usiamini hivyo...we jaribu uone
 
Usipotoshe wenzio
 
Ntachangia gold gram mbili
Heheh gram mbili kwa sanamu nzimaaa?
Hawa wanaume wa humu washakugeuza moyo ...shogaa hawa wanaume watakutoa machoo...unaona ninavyopondwaaa? Eti nitakuwa wale wenye mdomo
 
wasizichoke vibabu vya miaka 80 vinavyofia guest ndio iwe mie wa miaka 40 something jamani. maisha ndio kwanza yameanza
Piga keleleee kwa mzabzab aka mzee wa kuchungulia nyeeetiii
 
Wanaume mnazani kuitwa kichwa cha nyumba ni mchezoo?
Utakuwaje kichwa ikiwa hela ya mkeo unaipigia hesabuu?
Hapo kwenye kuipigia hesabu labda uifafanue. Kwamba nitegemee pesa yake kujikimu. Au ni ile chako chetu changu ni changu?
 
Asilimia kubwa ya mwanamke kuwa na gubu au mdomo domo... ni kama wapo hivyo by nature ni tabia walizonazo..

ni wanawakwe wa chache sana wasio na maneno maneno ya dharau wanapokuwa katika ndoa. .. na mara nyingi gubi huanza mwanmke akishakuoana wewe mwanaume ni " dhaifu"..

hivyo basi huanza kukoroma na" kuu test" "uwanaume" wako katika ndoa au mahusiano"


Ukioa mwamake "wakiswahili" aliyetuka familia duni/masikini ,harfau ana "gubu"
Ondoa ndoto zako zooote za kutoba kimaisha!!!
 
Hakuna mwanamke jeuri mbele ya mume mwenye upendo.... btw:mimi nimeolewa mkuu
Mume mwenye upendo akikutana na mwanamke mwenye gubu mara nyingi hufa mapema kwa magonjwa ya sukari/presha
 
Hahaha nimeshangaa sana anataka tuwatreat wanwake kama queen.. trust me mpende mkeo mjali play part yako lakini usivuke mipaka yakuwa beta mael na kuanza kuwalamba lamba hawa female creature utatesekaa ...
 
Treating a woman good is a wonderful thing ila ina muda wake maalum sio kila mda ni wa baby sitting. There would be a time utatakiwa u concetrate na mambo yako mengine ila hapo ndipo lawama za kuanza kuambiwa hujali zinapochipukaga!
Very true!
Kuna watu wanafikri caring ni kumpa mwamake attention yako 24/7 ..
Ni lazima time nyingine u concentrate kwenye plans zako na aujue hivyo!
Suala la yye kulalamika hujali -huwa hawamaanishi kuwa haujali ...wanacho kimaanisha ni "i need your attention "
 
Wanaume mnazani kuitwa kichwa cha nyumba ni mchezoo?
Utakuwaje kichwa ikiwa hela ya mkeo unaipigia hesabuu?
Wanawake masikini wanaroho ya ubinafsi sana na wanajari sana pesa kuliko hata familia!!!!!!
 
Msalimie mjomba mwambie BAK wa JF anakusalimia sana. Anauliza mambo bado!? 😜

 
Hapo kwenye kuipigia hesabu labda uifafanue. Kwamba nitegemee pesa yake kujikimu. Au ni ile chako chetu changu ni changu?
Kuipigia hesabu kwenye bajet ya familia. Kama akileta alete kwa kupenda ila isipoletwa kwenye bajeti usilie lie. Pambana kiume moshi ufuke hom. Watoto wavae, wasome na maendeleo yawepo. Huo ndo uwanaume
 
Tatizo ni 50/50 kadili mnavyo ipigania na ndivyo wanaume wanazidi kupungua. Huwezi fananisha mazingira aliyo kulia baba yako na wanaume hawa ambao siku hizi wanaharakati wenzenu wameingiza 50/50 kwenye mitaala ya elimu, mliona mnawakomoa wanaume ila siku hizi wanaume wanataka kuona 50 kwenye kipato cha familia.

Sometimes huyo baba yako alishamjua mke wake ni mbinafsi na ndio maana kaamua abebe majukumu ya familia yeye mwenyewe kupunguza gubu na kelele ndani ya nyumba. Ila swali dogo, ushawahi kujiuliza mshahara wa mama yako unaenda wapi?

Husimuone baba yako yupo kimya, unaweza kuta anapitia mengi ila anavumilia na kupuuzia kwani hela ya mwanamke chungu sana na ina maiming lkn pamoja na yote bado mnadai 50/50 wakati 50 yenu haionekani kwenye familia sometimes nyie hata mnachokipigania hamkijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…