hakuna mtoto atakaepata div five pale na shule zingine za namna hiyo,na haijawahi kutokea hata hiyo zero wakati shule inafikisha miaka ishirini mwaka huuLabda uwapeleke nje ya nchi..!! Kama watasoma hapahapa watatungiwa mitihani na serikali ya division 5 hii hii...!!!!
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103Yeah nahisi kitu kama hicho....... Anaweza akawa mtoto. Anadhani shule za vipaji maalum au za kawaida zilikuwa na walimu au tution ndo zilikua zinatoa watu. Anyway inaonekana ameshindwa kutaja hiyo shule coz watu watakuja na analysis ya miaka 10 iliyopita.
mimi nilisoma hapo na kumaliza in mid 2000s na ada ya boarding ilikuwa 300000 mpaka 2006
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103
Sema tu ni ipi agape seminary. .marian..kilinjiko..mshinga international skul..baobabs..ama shule gani..usifichefiche kwa faida ya wengi nasi tunataka watoto weyu wawe wazuri academically. Mkuu weka wazi bana.! Alaah.
nameless girl said:Kila mzazi anawish yaliyo bora kwa mwanae... tatizo ni uwezo...
unahitaji kujua unajadili nini hapa?na je upo kwenye mada ama umetoka kwenye mada? unatakiwa kujua kuwa ubunifu na ugunduzi si swala la private schools ama government schools,innovations ni matokeo na utashi wa mtu mmojamoja na si kwa sababu ya shule aliyosoma,ndio mana hakuna shule ama chuo cha ugunduzi(there is school of innovations)Tuna ma-private schools meeeeengi...!!! Lakini sijapata kusikia mtanzania/mprivate amebuni chochote hata injini ya kidampa...!!! So watz wote nawaona kuwa ni vilaza tu...!!!
sina jaziba,kwa taarifa yako nimesoma shule zote ikiwamo na za serikali na ndio mana nasema hakuna mtoto wangu atagusa shule za serikali,hata kama ada ni kubwa nitalipa,na nisipokuwa nayo nitatafuta za kuendana na uwezo wangu,lakini si serikali,na siwezi kumpeleka tu bila kujua uwezo wa shule,pia usiongope,Mtoa mada acha jazba.zipo shule nbaya sana za private kuanzia masomo, chakula mpaka malazi. Tatizo la baadhi ya shule za serikali ni malazi na chakula. Wakandarasi ndo hawalipwi mpaka shule zinafungwa mapema.
Wapo wazazi wenye uwezo ila mabahili au hawana uelewa wa kutosha. Mtoto akichaguliwa hachunguzi shule anayokwenda mwanae ila yeye anaringa mwanangu kafaulu. Unaweza kufaulu kwenda kufeli huko mbele. Wapo wazazi wanashukuru kwani hawana uwezo wa hata kulipia hiyo hela ndogo ya serikali. Kama mungu amekujalia mtoto anayefaulu mzazi jifunge umsomeshe. Wako wenye pesa ndefu ila watoto hawapendi kuona mlango wa darara.
Huwezi kuamini shule kama Feza ambayo ada ni 7.5m kabla ya matokeo ya form IV wao walishasajili na ada kulipwa. Tarehe ya kulipa ada ilikuwa 19.02 wakati matokeo yametoka 22.02. Marian zote boys na girls tayari. Kama unataka kutumwatumwa kuishie kwako somesha mtoto vizuri. Wapo wazazi wanalitambua hilo na tunawapongeza. Wengine inabidi tuwape pole tu.
Sema tu ni ipi agape seminary. .marian..kilinjiko..mshinga international skul..baobabs..ama shule gani..usifichefiche kwa faida ya wengi nasi tunataka watoto weyu wawe wazuri academically. Mkuu weka wazi bana.! Alaah.
Acha kufuru. Mi nilisoma private o level na gov a level. Naelewa maneno yako ila kumbuka wapo watoto waliofaulu na wazazi wakashindwa kulipa hiyo hela ndogo. Kama mungu amekupa mwanya usijipige kifua kuwa mwanao hatasoma gov. Kwa watu tunaomwogopa mungu hayo maneno ni mazito sana. Hivyo vyanzo mungu anaweza kuvipiga na ukajutia kauli hizo. Hata kama una uwezo kuna maneno sio ya kutamka haswa mbele ya hadhara kama hii. Kuna watu umewaumiza kwani hawana uwezo huo. Wafanyeje? Mwombe Mungu akusamehe kwa majivuno hayo.
Sikujua MUNGU kwako ni shetani. Kumbe humu ndani ya jamvi tuna devel worshipers? Mungu uwasamehe.
inawezekana hukupenda,lakini wazazi wengi wanaleta mzaha kwenye elimu,wanaendekeza starehe kuliko elimu ya watoto,wengine hawaelewi elimu sahihi kwa watoto wao pamoja na kuwa na uwezo