hakuna mwanangu atakaekanyanga shule za serikali

hakuna mwanangu atakaekanyanga shule za serikali

Labda uwapeleke nje ya nchi..!! Kama watasoma hapahapa watatungiwa mitihani na serikali ya division 5 hii hii...!!!!
hakuna mtoto atakaepata div five pale na shule zingine za namna hiyo,na haijawahi kutokea hata hiyo zero wakati shule inafikisha miaka ishirini mwaka huu
 
Yeah nahisi kitu kama hicho....... Anaweza akawa mtoto. Anadhani shule za vipaji maalum au za kawaida zilikuwa na walimu au tution ndo zilikua zinatoa watu. Anyway inaonekana ameshindwa kutaja hiyo shule coz watu watakuja na analysis ya miaka 10 iliyopita.
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103
 
mimi nilisoma hapo na kumaliza in mid 2000s na ada ya boarding ilikuwa 300000 mpaka 2006

Ukikua na kukutana na majukumu ya ulimwengu huu utakuja kutuambia hiyo kamwe yako uliyosema....ndio kwanza upo under 28 unapiga penyenyenye sidhani kama una mtoto aliye na miaka hata 4.... Kua uyaone dogo
 
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103

Sema tu ni ipi agape seminary. .marian..kilinjiko..mshinga international skul..baobabs..ama shule gani..usifichefiche kwa faida ya wengi nasi tunataka watoto weyu wawe wazuri academically. Mkuu weka wazi bana.! Alaah.
 
Utamkuta waziri anazisifia kwa mbwembwe wakati anajibu maswali bungeni,waziri mkuu naye atasimama kutolea majibu ya nyongeza naye atajazia sifa kibao utasema kweli serikali inafanya kazi.Sasa utajiuliza kumbe zina sifa hizo kwann wtt wao hawawapeleki.Ndo yaleyale Hosp wanazisifia lakini wenyewe wanaenda nje.
 
ndio mana sikutaka kutaja kwa watu wanaotaka kubishana na ndio mana nikasema zipo nyingine zenye bei nafuu,hata nikitaja wala hakuna tatizo,for all years hakujawahi kuwa na kitu kinaitwa zero,shule inashika nafasi inbetween 32 mpaka 100 and the worst record ever ni nafasi ya 103

Sema tu ni ipi agape seminary. .marian..kilinjiko..mshinga international skul..baobabs..ama shule gani..usifichefiche kwa faida ya wengi nasi tunataka watoto weyu wawe wazuri academically. Mkuu weka wazi bana.! Alaah.

Kwani ukiweka jina na Shule utakua sued mkuu? Mambo ya kuja kurushana roho humu jukwaani sioni maana yake... Kwann unakua selfish? Sioni sababu ya ww kunitumia private msg ili unipe jina la shule mie sipo hivyo bro
 
Mtoa mada acha jazba.zipo shule nbaya sana za private kuanzia masomo, chakula mpaka malazi. Tatizo la baadhi ya shule za serikali ni malazi na chakula. Wakandarasi ndo hawalipwi mpaka shule zinafungwa mapema.
Wapo wazazi wenye uwezo ila mabahili au hawana uelewa wa kutosha. Mtoto akichaguliwa hachunguzi shule anayokwenda mwanae ila yeye anaringa mwanangu kafaulu. Unaweza kufaulu kwenda kufeli huko mbele. Wapo wazazi wanashukuru kwani hawana uwezo wa hata kulipia hiyo hela ndogo ya serikali. Kama mungu amekujalia mtoto anayefaulu mzazi jifunge umsomeshe. Wako wenye pesa ndefu ila watoto hawapendi kuona mlango wa darara.
Huwezi kuamini shule kama Feza ambayo ada ni 7.5m kabla ya matokeo ya form IV wao walishasajili na ada kulipwa. Tarehe ya kulipa ada ilikuwa 19.02 wakati matokeo yametoka 22.02. Marian zote boys na girls tayari. Kama unataka kutumwatumwa kuishie kwako somesha mtoto vizuri. Wapo wazazi wanalitambua hilo na tunawapongeza. Wengine inabidi tuwape pole tu.
 
Tuna ma-private schools meeeeengi...!!! Lakini sijapata kusikia mtanzania/mprivate amebuni chochote hata injini ya kidampa...!!! So watz wote nawaona kuwa ni vilaza tu...!!!
unahitaji kujua unajadili nini hapa?na je upo kwenye mada ama umetoka kwenye mada? unatakiwa kujua kuwa ubunifu na ugunduzi si swala la private schools ama government schools,innovations ni matokeo na utashi wa mtu mmojamoja na si kwa sababu ya shule aliyosoma,ndio mana hakuna shule ama chuo cha ugunduzi(there is school of innovations)

hapa nilikuwa naongelea ubora wa elimu kwa wengi na matokeo ya elimu na si uvumbuzi na technolojia,mtu mwenye uwezo na utashi wa kufanya uvumbuzi wakati mwingine hahitaji hata kwenda darasani kusoma kama kina stive jobs waligundua mambo makubwa si kwa sababu ya kwenda shule bali utashi
.
pia angalia kama unafatilia mambo ya tafiti na ugunduzi wa hapa nchini isije ukawa unaropoka tu,wapo watu wamegundua mambo hapa alafu unaropoka tu kwa sababu hukujuzwa
 
Mtoa mada acha jazba.zipo shule nbaya sana za private kuanzia masomo, chakula mpaka malazi. Tatizo la baadhi ya shule za serikali ni malazi na chakula. Wakandarasi ndo hawalipwi mpaka shule zinafungwa mapema.
Wapo wazazi wenye uwezo ila mabahili au hawana uelewa wa kutosha. Mtoto akichaguliwa hachunguzi shule anayokwenda mwanae ila yeye anaringa mwanangu kafaulu. Unaweza kufaulu kwenda kufeli huko mbele. Wapo wazazi wanashukuru kwani hawana uwezo wa hata kulipia hiyo hela ndogo ya serikali. Kama mungu amekujalia mtoto anayefaulu mzazi jifunge umsomeshe. Wako wenye pesa ndefu ila watoto hawapendi kuona mlango wa darara.
Huwezi kuamini shule kama Feza ambayo ada ni 7.5m kabla ya matokeo ya form IV wao walishasajili na ada kulipwa. Tarehe ya kulipa ada ilikuwa 19.02 wakati matokeo yametoka 22.02. Marian zote boys na girls tayari. Kama unataka kutumwatumwa kuishie kwako somesha mtoto vizuri. Wapo wazazi wanalitambua hilo na tunawapongeza. Wengine inabidi tuwape pole tu.
sina jaziba,kwa taarifa yako nimesoma shule zote ikiwamo na za serikali na ndio mana nasema hakuna mtoto wangu atagusa shule za serikali,hata kama ada ni kubwa nitalipa,na nisipokuwa nayo nitatafuta za kuendana na uwezo wangu,lakini si serikali,na siwezi kumpeleka tu bila kujua uwezo wa shule,pia usiongope,

matatizo ya shule za serikali ni mengi mno,hakuna walimu,kama wapo hawafundishi,kama wanafundishi hata wakilalamikiwa hawawezi kubadilishwa,hakuna vitabu,hakuna maji,hakuna mabweni,hakuna umeme. nani anataka ujinga huu
 
Sema tu ni ipi agape seminary. .marian..kilinjiko..mshinga international skul..baobabs..ama shule gani..usifichefiche kwa faida ya wengi nasi tunataka watoto weyu wawe wazuri academically. Mkuu weka wazi bana.! Alaah.

nimesema hiyo shule yangu kwa wenye uwezo mdogo ama wanaosingizia ada,ama wenye kipato kidogo ambayo bado ni nzuri,lakini kama una uwezo its your choice,nimekwambia kama unataka nitakutumia inbox,alafu watu wanafikiria naogopa,kwa taarifa siogopi hata kidogo ila sijawahi kutaja shule yangu humu iwe ya advance ama o level,ila kama mtu akiniambia anataka shule ya private nzuri yenye gharama nafuu nitamtajia hii na kama kuna nyingine nitasema.
 
Acha kufuru. Mi nilisoma private o level na gov a level. Naelewa maneno yako ila kumbuka wapo watoto waliofaulu na wazazi wakashindwa kulipa hiyo hela ndogo. Kama mungu amekupa mwanya usijipige kifua kuwa mwanao hatasoma gov. Kwa watu tunaomwogopa mungu hayo maneno ni mazito sana. Hivyo vyanzo mungu anaweza kuvipiga na ukajutia kauli hizo. Hata kama una uwezo kuna maneno sio ya kutamka haswa mbele ya hadhara kama hii. Kuna watu umewaumiza kwani hawana uwezo huo. Wafanyeje? Mwombe Mungu akusamehe kwa majivuno hayo.
 
siwezi kumwogopa shetani,wewe endelea kumwogopa,

simtegemei huyo shetani katikani mafanikio yangu.

kwa watu wasio na uwezo kabisa hata shule za kata hawawezi kusomesha,na nikuambie tu kuwa kwa sasa hata shule ya kata kumpeleka mtoto shule na mahitaji yote ya mwaka inaweza kufikia laki tano,kwa nini usitumie akili ya kutafuta shule nzuri ya private yenye ada ndogo ukasoma na kufaulu?
 
Sikujua MUNGU kwako ni shetani. Kumbe humu ndani ya jamvi tuna devel worshipers? Mungu uwasamehe.
 
mimi natamani niende ulaya na wanangu,elimu imeoza huku maana Wizara ya elimu ni ya serikali,haipo ya private
 
Kwa sisi ambao ulaya hakutusumbui kihivyo tumeona mengi mazuri na mabaya ya hiyo ulaya. Ulaya ni nzuri kwa shahada ya pili kwa mtoto. Wakienda sekandari ujue uwezekano wa kula kwako ni mkubwa. Malezi ya wenzetu wewe hutayaweza na hizi jazba ulizo nazo!!!
 
Sikujua MUNGU kwako ni shetani. Kumbe humu ndani ya jamvi tuna devel worshipers? Mungu uwasamehe.

najua pia unasumbuliwa na madhara ya elimu ya Tanzania,katika sehemu zote nilizokunukuu hukuandika MUNGU wala Mungu BALI ULIANDIKA mungu,jina la Mungu linaanza na herufi kubwa,wewe ulianza na herufi ndogo,na hao ni miungu chiniya shetani,sasa nani devil worshiper?ni wewe uliyesema niogope shetani ama mimi niliyesema siogopi shetani?
 
mimi natamani niende ulaya na wanangu,elimu imeoza huku maana Wizara ya elimu ni ya serikali,haipo ya private

peleka mtoto korea huko ndo wanaongoza kielimu kwa sasa kidunia
 
inawezekana hukupenda,lakini wazazi wengi wanaleta mzaha kwenye elimu,wanaendekeza starehe kuliko elimu ya watoto,wengine hawaelewi elimu sahihi kwa watoto wao pamoja na kuwa na uwezo

Mkuu nimesoma post zako hapo juu pamoja na hii, usipende kukufuru. Huna mkataba na Mwenyezi Mungu juu ya maisha yako. Mnaweza ondoka wote wewe na mama wa hao watoto au kupata vilema vya kulala kitandani milele na wanao wakaziona hata shule za kata ni favour kwao. Hujafa hujaumbika ndugu.
 
Back
Top Bottom