The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Muulize Ada ya mwaka gani hiyo?usikute unaongea na mtoto hapa anakenga maghorofa hewani
kuna shule zinatoa best education with very affordable fee,sema watu hamtaki kufatilia,mfano shule niliyosoma haina ada kubwa pamoja na kung'aa muda mrefu,mpaka sasa ada ya boarding haifiki 700,000 kwa mwaka form one to form six.
sitaki kuandika hapa,nitaonekana nafanya matangazo,ila shule za namna hiyo zipo nyingi believe me,
Ungeitaja ningeenda kuchukua form sasa hivi. Chekechea tu nalipa zaidi ya hiyo pesa tena analala nyumbani, sekondari ya 700,000/= si wangekosa nafasi za kuwaweka wanafunzi?