hakuna mwanangu atakaekanyanga shule za serikali

hakuna mwanangu atakaekanyanga shule za serikali

Muulize Ada ya mwaka gani hiyo?usikute unaongea na mtoto hapa anakenga maghorofa hewani

kuna shule zinatoa best education with very affordable fee,sema watu hamtaki kufatilia,mfano shule niliyosoma haina ada kubwa pamoja na kung'aa muda mrefu,mpaka sasa ada ya boarding haifiki 700,000 kwa mwaka form one to form six.

sitaki kuandika hapa,nitaonekana nafanya matangazo,ila shule za namna hiyo zipo nyingi believe me,

Ungeitaja ningeenda kuchukua form sasa hivi. Chekechea tu nalipa zaidi ya hiyo pesa tena analala nyumbani, sekondari ya 700,000/= si wangekosa nafasi za kuwaweka wanafunzi?
 
Mkuu nimesoma post zako hapo juu pamoja na hii, usipende kukufuru. Huna mkataba na Mwenyezi Mungu juu ya maisha yako. Mnaweza ondoka wote wewe na mama wa hao watoto au kupata vilema vya kulala kitandani milele na wanao wakaziona hata shule za kata ni favour kwao. Hujafa hujaumbika ndugu.
unajua mana ya kukufuru wewe?ama ni upuuzi tu unakusumbua?naandika haya nikiwa na akili timamu,na ninalewa lolote litatokea kuhusu mimi kwa mapenzi ya Mola,lakini katika akili hii na hivi nilivyo hakuna mwanangu atasoma hizi shule uchwara za serikali
 
Nakushukuru kwa dharau na kejeli. Lakini ukweli umeupata kuwa hata yatima wanaozunguka mitaani sio kwa mapenzi yao. Hao watoto wako sio special kuliko wengine machoni pa Mungu.
 
Huyu ndugu ana matatizo fulani. Sijui ni ya akili au msimamo au chuki na serikali. Ukisoma comments zake !!!
Sifa ya mfalme ni busara na uvumilivu. Sasa unapojiita king mairo halafu fikra na mdomo ni mchafu hivyo? Hapa hata elimu inatia shaka. Analaumu elimu ya Tanzania wakati ndio aliyonayo ni kama kulitukana tumbo liliokuzaa. Sina jina sahihi la kukupa.
 
Ungeitaja ningeenda kuchukua form sasa hivi. Chekechea tu nalipa zaidi ya hiyo pesa tena analala nyumbani, sekondari ya 700,000/= si wangekosa nafasi za kuwaweka wanafunzi?
hata hivyo huwezi kuchukua form sasa,muda ushapita,mpaka la saba wamalize ndo watachukua,labda kama kuna mwanafunzi kamaliza form four na atakosa kuchaguliwa watamchukua kusoma advance kama atameet vigezo vya kufanya mtihani wa form six,kwa mfumo wa zamani alitakiwa kuwa na c tatu tu,awe ana three ama four wangemchukua,kwa mfumo wa sasa sielewi,lakini kama unataka kupunguza gharama hapa panaweza kuwa jawabu na mtoto kufaulu ni asilimia kubwa.
 
Huyu ndugu ana matatizo fulani. Sijui ni ya akili au msimamo au chuki na serikali. Ukisoma comments zake !!!
Sifa ya mfalme ni busara na uvumilivu. Sasa unapojiita king mairo halafu fikra na mdomo ni mchafu hivyo? Hapa hata elimu inatia shaka. Analaumu elimu ya Tanzania wakati ndio aliyonayo ni kama kulitukana tumbo liliokuzaa. Sina jina sahihi la kukupa.
hakuna kitu nachukia kama elimu yote ya serikali,na siwezi kuficha hisia zangu,kwa sababu watawala hawataki kuiboresha,nimesoma serikalini miaka 9 na michache private lakini ubora wangu wote ni mazao ya private na jitihada binafisi nilipokuwa serikalini,mimi elimu yangu na uelewa wangu nilivyo navyo kwa zaidi ya asilimia 75 ni matokeo ya private,20% ni jitihada binafisi na asilimia tano ndo hao serikali walioharibu uwezo wangu toka shule ya msingi kabla ya kunusuriwa na private
 
Nakushukuru kwa dharau na kejeli. Lakini ukweli umeupata kuwa hata yatima wanaozunguka mitaani sio kwa mapenzi yao. Hao watoto wako sio special kuliko wengine machoni pa Mungu.
sina dharau wala kejeli,hayo ni mawazo yako,nimekuuliza uniambie maana ya neno kukufuru umeshindwa,alafu unasema nina dharau na kejeli,kama ulidangaywa maana ya kukufuru ama hujui si ajabu ukaniambia nimekufuru huku sijakufuru,hata hapa nakwambia ukweli unaona dharau,hata huyo jamaa mwingine alikuwa amenikomalia huku haelewi hata Mungu aliye mkuu anaandikwaje tofauti na miungu ya kishetani aliyoniandikia alafu akaendelea kujipa matumaini kuwa mimi naabudu shetani,wakati mimi nimpinga shetani,nilimpomwelewesha kakaa kimya bila kuadimit mistakes zake ama kusema kuwa alikuwa hajui anachoandika kama alimaanisha shetani,sasa nikisema alilkuwa anaropoka asilolijua na kujitia anajua huku hajui nitakosea?you might be doing the same here on your argument
 
Haujafa haujaumbika ata kanumba alisema hivyo

kweli kabisa,niliandika hapa kwa maana ya hivi nilivyo. kama nikiwa tofauti kwa mapenzi ya Mungu hilo ni swala jingine. kwani wote wanaofanya uzembe kuwapeleka watoto wao shule nzuri huku wana uwezo nao utasemaje?wamelaaniwa ama wameamua kwa ujinga wao wa kuendekeza starehe,siwezi kuendekeza starehe kuliko elimu ya watoto wangu.
 
hata hivyo huwezi kuchukua form sasa,muda ushapita,mpaka la saba wamalize ndo watachukua,labda kama kuna mwanafunzi kamaliza form four na atakosa kuchaguliwa watamchukua kusoma advance kama atameet vigezo vya kufanya mtihani wa form six,kwa mfumo wa zamani alitakiwa kuwa na c tatu tu,awe ana three ama four wangemchukua,kwa mfumo wa sasa sielewi,lakini kama unataka kupunguza gharama hapa panaweza kuwa jawabu na mtoto kufaulu ni asilimia kubwa.

Namaanisha shule ya hiyo ada kama ipo kwa sasa, natilia shaka ubora wa kiwango cha elimu yake. Laki 700,000/= boarding sekondari? Ndio maana nakwambia kama kweli unayoyasema kuhusu hiyo shule ni kweli, basi itakua inakosa pa kuwaweka wanafunzi kwa sababu ni bei chee sana.

Nakuomba utangulize neno Mungu akikujalia, watoto wako hawatasoma shule za serikali ila usiape kwa sababu chochote chaweza kutokea wakati wowote, kuna vitu hatuna mamlaka au utashi navyo, vikitokea vimetokea.
 
Hakuna kitu kinachoturudisha nyuma watanzania kama kumwachia MUNGU kila kitu hata yeye mwenyewe alisema ni mzazi gani awezaye kumpatia mtoto wake jiwe badala ya mkate. Mungu anatupa kilicho bora kama tutafuata utaratibu sahihi wa maisha anayotaka tuishi. Kwa wakristo biblia imeonyesha watu walikuwa wacha Mungu walikuwa Hodari tena Wenye uwezo.Watu tumekuwa wajanja wajanja wezi sio waaminifu kwenye kazi ndoa yaani taabu tupu.lazima ushindwe kuishi maisha mazuri hata wanaotuibia serikalini wanajidanganya time will tell jamani tufanye kazi tujitume Mungu hayupo hivyo tunavyomdhania anatupenda tuishi vizuri chaguo ni letu kumtii au kufuata njia zetu
 
Au wewe au mwanao amepiga mweleka kwenye hii csee? Maanake hizi hasira sio za kawaida. Jifunze public speaking maana hata ukipewa jukwaa mambo yatakuwa haya haya. Chuo kuna jamaa walikuwa mabingwa wa critic wamebaki wakicritisize kila kitu wakati wenzao wanapiga maendeleo. Kalaghabaho!!!
 
sina dharau wala kejeli,hayo ni mawazo yako,nimekuuliza uniambie maana ya neno kukufuru umeshindwa,alafu unasema nina dharau na kejeli,kama ulidangaywa maana ya kukufuru ama hujui si ajabu ukaniambia nimekufuru huku sijakufuru,hata hapa nakwambia ukweli unaona dharau,hata huyo jamaa mwingine alikuwa amenikomalia huku haelewi hata Mungu aliye mkuu anaandikwaje tofauti na miungu ya kishetani aliyoniandikia alafu akaendelea kujipa matumaini kuwa mimi naabudu shetani,wakati mimi nimpinga shetani,nilimpomwelesha kakaa kimya bila kuadimit mistakes zake,sasa nikisema alilkuwa anaropoka asilolijua na kujitia anajua huku hajui nitakosea?you might be doing the same here on your argument

Mbona unatumia your conversation with third parties to argue my point? Simjui wala uliyekuwa una argue naye, mlichokuwa mna argue sikijui. Hii ni dalili ya kukosa hoja. Kwa akili yako mpaka umwambie mtu nimekudharau au nimekukejeli ndo uwe mtu mwenye dharau au kejeli? Kama unadhani hivyo, pole kwa ufahamu mdogo. Maneno au matendo anayotumia au kuyafanya yanatosha kukudefine ulivyo. Sikulaumu labda wewe ni kati ya walio na malezi mabovu, ustaarabu wa kuheshimiana ulishapita pembeni. NB: mtu akiamua kutokukujibu, usidhani ndo alikuwa wrong. Wakati mwingine anaona anapoteza muda wake kumwelewesha asiyeelewa.
 
Namaanisha shule ya hiyo ada kama ipo kwa sasa, natilia shaka ubora wa kiwango cha elimu yake. Laki 700,000/= boarding sekondari? Ndio maana nakwambia kama kweli unayoyasema kuhusu hiyo shule ni kweli, basi itakua inakosa pa kuwaweka wanafunzi kwa sababu ni bei chee sana.

Nakuomba utangulize neno Mungu akikujalia, watoto wako hawatasoma shule za serikali ila usiape kwa sababu chochote chaweza kutokea wakati wowote, kuna vitu hatuna mamlaka au utashi navyo, vikitokea vimetokea.
kila kitu kina mipaka,hiyo shule haichukui tu wanafunzi bila kuangalia uwezo wake,wana idadi yao ikifika mwisho wanafunga ili kila mtu apate kila kitu anachohitaji kulingana na uwezo wa shule,mathalani kila mwanafunzi anatakiwa kucheza sports and games,wana football grounds nne,mbili za wavulana na mbili za wasichana,wana basketball grounds mbili ambazo zote wanacheza boys na wasichana wanaotaka,wana netball grounds mbili,wana volleyball grounds sita,tatu za wasichana na tatu za wavulana,wana hockey ground moja, hizo ni outdoor games, pia kuna indoor games za kutosha kama table tennis,mchezo wa vinyoya nk, lazima wangalie kama kila mwanafuzni atapata haya mahitaji, hata darasani ni hivyo hivyo, si waroho wa kuchukua wanafunzi ndio maana hawaruhusu kuhamia pale.

ada ndo hiyo,ukitaka nakutumia website yao hata sasa unajiridhisha mwenyewe, na hiyo shule haiko peke yake,zipo nyingi na moja huwa haikosi top ten kila mwaka na mwaka huu imo ni ya kumi kitaifa,ila hiyo niliyosema ni ya 57.
 
Nataka mkuu, mwaga website ya hiyo shule. Thanks
 
Mbona unatumia your conversation with third parties to argue my point? Simjui wala uliyekuwa una argue naye, mlichokuwa mna argue sikijui. Hii ni dalili ya kukosa hoja. Kwa akili yako mpaka umwambie mtu nimekudharau au nimekukejeli ndo uwe mtu mwenye dharau au kejeli? Kama unadhani hivyo, pole kwa ufahamu mdogo. Maneno au matendo anayotumia au kuyafanya yanatosha kukudefine ulivyo. Sikulaumu labda wewe ni kati ya walio na malezi mabovu, ustaarabu wa kuheshimiana ulishapita pembeni. NB: mtu akiamua kutokukujibu, usidhani ndo alikuwa wrong. Wakati mwingine anaona anapoteza muda wake kumwelewesha asiyeelewa.
achana na upande wa tatu,naomba uniambie maana ya kukufuru ili tuendelee
 
Kuna uzi kule pasco amefundisha "will power" akili yako ikitaka jambo fulani jambo hilo linatokea muhimu uamini.itawezekana vipi yeye hajui kwani akifa hata mtu au ndugu anaweza kumsaidia.sababu kama ni lolote laweza tokea kwanini tuamini linaweza tokea baya tu ok.kwani baya likitokea hatuwezi jua Mungu anaweza simamia will yake kwa watoto wake na wakasomeshwa hata na mtu baki hizo shule ambazo baba yao alipenda wasome.Wapo watu wenye mioyo na moyo wa upendo.Ila tu tujifunze kuwa liujazalo moyo siku zote ndilo limtokealo mtu.Maisha ni sisi wenyewe Mungu hutupatia vile anavyoona kwa uwezo wetu tunaweza. Ukiona huwezi na yeye hakupi si huwezi ila wale ambao wanaona waweza kufanya mambo fulani Mungu huwajalia sababu anajua wana uwezo na wana sababu ya msingi ya kuwa hivyo wanavyotaka wao
 
Nataka mkuu, mwaga website ya hiyo shule. Thanks
nakutumia inbox,sipo hapa kufanya pro ya matngazo,ila shule hiyo nilitoa mfano baada ya wengine kudai tatizo ni ada.
 
Back
Top Bottom