Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

🗑️🗑️🗑️
 
Nchi ya misaada hatuwezi kuwa na misimamo
 
Serikali haziwezi kutishiwa nyau na taasisi yoyote Ile, nakuhakikishia DP world must come na hao Tec wataishia kubweka tu kama mbwa wa majararani na hakuna watakachofanya.

Mkuu, kama huoni kwa jicho la tatu yanayoendelea huwezi pia kujua kama serikali hasa muhusika mkuu anavyotapatapa kuhusu huu mkataba.

Nimesema kama isingekuwa tamko la TEC kwa sasa bunge kingekuwa limeishafanya mchakato wa kuzifuta sheria za umiliki wa maliasili za mwaka 2017.
 
Acha Kuwa na Upeo Mfupi..., TEC wanaungwa mkono na wataungwa mkono kama wanachopambania / wanachokieleza at any given time kina manufaa kwa Taifa; Kwahio leo wakisema nchi iwe ya Imani yao, au wapate vitu kwa manufaa yao binafsi unadhani watashinda au kuna atakayewasikiliza ?!!!

Nyie ndio mnaoamisha struggle za kitaifa na kuzipeleka kuwa struggle za kidini / kiimani - na kwa kufanya hivyo hamjengi bali mnabomoa
 
Wakatoliki ndio chanzo Cha machafuko yote duniani
Hujakosea kabisa kwani wao ndio wanaopigana kule Afghanistan, Somalia, Burkina Faso, Mali, Yemen na kwingineko! Basi ni sawa na kusema wakatoliki ni super power na wana zana za kivita za kutosha kuiharibu dunia nzima! Hoja za wakubwa uwe unazisoma ili kujiongezea maarifa na ufahamu na siyo lazima uchangie! Mbumbumbu wa Karne wewe!
 
Mungu aliumba na wajinga pia watàkuja hapa kutukana na kukupinga
 
Mkuu kwanza karibu,
Ni kitambo sana kukuona humu,mara ya mwisho ni GE 2020 ambapo wewe ulikuwa ni timu JPM miye timu ENL

Tulitofautiana Kwa mengi,ila Leo tunaongea lugha moja
 
Seconded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…