Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

Hakuna mwanaume mwenye stress kama aliepata ajali ya kondomu kupasuka 😂

Hivi bado kuna watu hawajui, ikitokea ume uza mechi ukawa na mashaka nenda hospital chapu kabla ya masaa 72 kuisha kuna dawa una pewa ya kuzuia kabisa usipate shida.
 
Back
Top Bottom