4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwa iyo wewe unaweza kujua mipango mingi ya serikali kuliko Mbowe, kaa tulia mapungufu ya mwendazake lazima yawekwe wazi tz yetu woteKwanza ninaamini Hana ushahidi wa anachokisema,
Pili, amekuwa na siasa za chuki na kichochezi zisizovumilka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu na mwenye kupenda amani na utulivu...
Mtu mwenye akili timamu hawezi kujiunga na CCM -wauaji, watekaji, wabambikia kesi, waporaji etc etc. Lkini wewe kwa vile huna akili ni member wa CCM
Sina sababu ya kumchukia Samia. Anaonekana kuchukia some of matendo ya Jiwe aliyokuwa akiyafanya ya kuumiza watu. Naye akikengeuka tutamsema na kumchukia.Uzuri wewe ni mfuasi wa Rais Samia ambaye ni CCM karibu kamanda
Naungana na wewe kuzungumzia masuala ya watu so siasa na haifai kuwa ndiyo agenga ya kiongozi wa chama cha siasa chenye lengo la kutwaa uongozi wa nchi. Elezea sera za CHADEMA.Nimemsikia Freeman Mbowe Mara kadhaa katika ziara zake amejikita sana katika kukosoa utawala wa Mwendazake Magufuli kuliko kujikita katika current issue za sasa....
Màtaga katika ubora wenu wa kutapatapa.Ishu sio mtoa hoja bali ni hoja iliyoibuliwa kutokana na matamshi ya kibaguzi ya Mbowe...
Sabaya kiboko wa mbowe?Kama wewe sio Chadema ya chama yanakuhusu vipi? Maana haya ni mambo ya chama sio serikali. Kama mboye kafika mwisho Sabaya itakuwaje!
Mmechanganyikiwa walaiMbowe ulitutumia wasukuma kama daraja la kisiasa tulikuonya kuwa staafu siasa hukusikia unaona unavyojiabisha..