GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.
Hii sio haki.