Hakuna mZanzibar aliwahi kushika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya nje

rasimu ya pili ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
Kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na mambo ya nje, haya yote kushikwa na watanganyika ili zanzibar isifurukute.

Hii sio haki.

amina salum ali...
 
Tanganyika ibaki na ardhi yake na sisi tubaki na wisiwa vyetu, nashangaa kwa nini watanganyika mnangangania muungano,bado mnakwenda kinyerere nyerere badilikeni mnapitwa na wakati, jinchi lenu kubwa basi hichi chetu kidogo kiacheni. Hapa bila Zanzibar yenye mamlaka kamili patachimbika, muulizeni Sitta, sisi vijana wakizanzibar hatukubali dhulma mara hii "under our dead bodies"
 
Mzanzibar ambaye haridhiki na hii rasim ,hataki kabisa Muungano.
 
Mimi huwa najiuliza hivi haya mambo ya kuleta huu usanii wa serikali 3, kwani tanganyika bila ya Znz itakuwa watanganyika hamupati tena chakula chenu?

Sisi waznz hatuhitaji mambo yenu yasioleweka tunataka kila nchi ijitawale kivyake.

kama munataka ni muungano ambao uwe kwenye karatasi tuu "mkataba"

Hamutaki hivo tafuteni nchi nyengine muungane tumewachoka" Puuuu
 
Mkuu Ghibuu leo naona umeteleza kidogo ndugu yangu. Waombe mods wafute tu hii thread haiwakilishi upeo wako mkuu.
Eti Ameteleza kidogo!!! usimpambe kwa UJINGA NA UKANJANJA WAKE. Sipendi tabia ya hawa jamaa, Ipo siku watasema" mbona sisi hatuna RELI YA KATI hapa Unguja kama ile ya Dar-Kigoma.
 
Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.

Hii sio haki.

Uki mtoa Salim Wazanzibari ni vilaza wa kutupwa.
Hawafai hata kuwa makatibu kata,sembuse Ukuu wa Taifa!

Thubutuuuuuu.
 
Mimi huwa najiuliza hivi haya mambo ya kuleta huu usanii wa serikali 3, kwani tanganyika bila ya Znz itakuwa watanganyika hamupati tena chakula chenu?

Sisi waznz hatuhitaji mambo yenu yasioleweka tunataka kila nchi ijitawale kivyake.

kama munataka ni muungano ambao uwe kwenye karatasi tuu "mkataba"

Hamutaki hivo tafuteni nchi nyengine muungane tumewachoka" Puuuu

Tulikuwa tukiwapiga kavukavu..malalamiko kibaooo sasa tumeamua kutumia TATU BOMBA bado tuuu!
Khaaa mbona hamna shukrani nyie!!?
 
Tanganyika ibaki na ardhi yake na sisi tubaki na wisiwa vyetu, nashangaa kwa nini watanganyika mnangangania muungano,bado mnakwenda kinyerere nyerere badilikeni mnapitwa na wakati, jinchi lenu kubwa basi hichi chetu kidogo kiacheni. Hapa bila Zanzibar yenye mamlaka kamili patachimbika, muulizeni Sitta, sisi vijana wakizanzibar hatukubali dhulma mara hii "under our dead bodies"

Kacheze bao.....
 
Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.

Hii sio haki.

Mbona hakuna Mkristu mzanzibar aliewai kuwa Rais wa Zanzibar!je Haki ipo hapo?
 
Tanganyika ibaki na ardhi yake na sisi tubaki na wisiwa vyetu, nashangaa kwa nini watanganyika mnangangania muungano,bado mnakwenda kinyerere nyerere badilikeni mnapitwa na wakati, jinchi lenu kubwa basi hichi chetu kidogo kiacheni. Hapa bila Zanzibar yenye mamlaka kamili patachimbika, muulizeni Sitta, sisi vijana wakizanzibar hatukubali dhulma mara hii "under our dead bodies"

acha mawazo finyu. mlitaka kujitenga tukawakataza, ka vipi tamkeni mnataka kujitenga uone kama mnabembelezwa.
 
Kwani Balozi Ahmed Hassan Diria (R.I.P) ambaye alikuwa Mbunge wa Raha Leo Zanzibar alikuwa Mndengereko?...

Mbona huyu amewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa Kimataifa mwaka 1990 hadi 1993 wakati wa awamu ya pili?....

Acha upotoshaji mkuu....
 
Miaka 50 ya muungano wazanzibari wanne tu walio shika nafasi hio ? Salim ahmed salim peke yake ndie alikuwa waziri kamili, hao wengine wote walikuwa manaibu waziri tu ?

Bado hakukuwa na balance katika huu muungano. Kwa upande wa urais wa muungano vile vile hakutokea mzanzibari kuwa rais wa muungano, Ali hassan Mwinyi sio mzanzibari wa kuzaliwa zanzibar ni mkaazi tu,kwao munakujua.
Kwani wewe kabila gani? Mswahili au?
Hata wewe umetoke Tabora au hujui Babu zako walichukuliwa Kigoma-Tabora-Bagamoyo mpaka Zanzibari.
 
Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.

Hii sio haki.
Wacha porojo mzee,

Tulikuwa na Salim Ahmed Salim kama Waziri wa Mambo ya nje kabla hajapanda kuwa Waziri Mkuu; na baada ya hapo walifuatia akina Ahmed Diria na Amina Salum Ali. Vipi hao wewe huwatamabui kama wazanzibari, au ni mwenendo wa kulalamika. Mlalamikaji huwa analalamika kuwa kaonewa hata pale anapokuwa amependelea.

In fact balozi kubwa kubwa nyingi sana hapa duniani zina wazanzibari wengi kuliko watanganyika!
 
Kwani wewe kabila gani? Mswahili au?
Hata wewe umetoke Tabora au hujui Babu zako walichukuliwa Kigoma-Tabora-Bagamoyo mpaka Zanzibari.
Naongea utaufa siongei ukabila, sisi ni kutoka Taifa la Zanzibar.
 
Back
Top Bottom