Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Kwahiyo tatizo lako ni kwamba wazanzibari hawapati madaraka kwenye serikali ya Muungano? hilo tu. Na je unadhani nyie mnastahili madaraka zaidi ya watanzania wengine? Kwasababu kiukweli wananchi wengi tuliozaliwa baada ya Muungano kwa huku Tanganyika tunajiona kama Watanzania zaidi kuliko "ubara" au "utanganyika" .