Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.
Hii sio haki.

Huu muungano umeshikwa na uzi wa buibui.kupata win win situation na kuondoa manung'uniko yako unaonaje Rais wa Tanzania akitoka Mwa.akwerekwe basi Rais waZanzibar atoke Nanjilinji Tanzania bara.Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano.
kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika rasimuu hii ya pili haijatamka mgawavyo wa madaraka, na inaonekana ina usanii mkubwa katika kuidhulumu zanzibar, katika urais na Mambo ya nje, haya yote kushikwa na Watanganyika ili zanzibar isifurukute.
Hii sio haki.
Fanya uchunguzi kwanza kabla ya kulalama.
Ahmed hassan Diria- alikuwa Mzanzibari na ameshashika uwaziri wa Mambo ya Nje
Amina Salum Ali- amewahi kuwa Waziri wa Nchi- Ushirikiano wa Kimtaida
aidha kila mara manaibu waziri wa mambo ya Nje kutoka Zanzibar wamekuwepo- Dk Abdulkadir Shareef, Balozi Seif Ali Idi, Dk.Mahadhir Juma,,
Ni kweli Alhaj Ali Hassan Mwinyi asili yake ni Kisarawe lakini nyie si mlimletea fitna Dr. Salim Ahmed Salim ambaye Mwalimu alipendekeza awe Rais wa muungano? Sasa malalamiko ya nini?Ali hassan Mwinyi sio mzanzibari wa kuzaliwa zanzibar ni mkaazi tu,kwao munakujua.