Hakuna mZanzibar aliwahi kushika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya nje



amina salum ali...
 
Tanganyika ibaki na ardhi yake na sisi tubaki na wisiwa vyetu, nashangaa kwa nini watanganyika mnangangania muungano,bado mnakwenda kinyerere nyerere badilikeni mnapitwa na wakati, jinchi lenu kubwa basi hichi chetu kidogo kiacheni. Hapa bila Zanzibar yenye mamlaka kamili patachimbika, muulizeni Sitta, sisi vijana wakizanzibar hatukubali dhulma mara hii "under our dead bodies"
 
Mzanzibar ambaye haridhiki na hii rasim ,hataki kabisa Muungano.
 
Mimi huwa najiuliza hivi haya mambo ya kuleta huu usanii wa serikali 3, kwani tanganyika bila ya Znz itakuwa watanganyika hamupati tena chakula chenu?

Sisi waznz hatuhitaji mambo yenu yasioleweka tunataka kila nchi ijitawale kivyake.

kama munataka ni muungano ambao uwe kwenye karatasi tuu "mkataba"

Hamutaki hivo tafuteni nchi nyengine muungane tumewachoka" Puuuu
 
Mkuu Ghibuu leo naona umeteleza kidogo ndugu yangu. Waombe mods wafute tu hii thread haiwakilishi upeo wako mkuu.
Eti Ameteleza kidogo!!! usimpambe kwa UJINGA NA UKANJANJA WAKE. Sipendi tabia ya hawa jamaa, Ipo siku watasema" mbona sisi hatuna RELI YA KATI hapa Unguja kama ile ya Dar-Kigoma.
 

Uki mtoa Salim Wazanzibari ni vilaza wa kutupwa.
Hawafai hata kuwa makatibu kata,sembuse Ukuu wa Taifa!

Thubutuuuuuu.
 

Tulikuwa tukiwapiga kavukavu..malalamiko kibaooo sasa tumeamua kutumia TATU BOMBA bado tuuu!
Khaaa mbona hamna shukrani nyie!!?
 

Kacheze bao.....
 

Mbona hakuna Mkristu mzanzibar aliewai kuwa Rais wa Zanzibar!je Haki ipo hapo?
 

acha mawazo finyu. mlitaka kujitenga tukawakataza, ka vipi tamkeni mnataka kujitenga uone kama mnabembelezwa.
 
Kwani Balozi Ahmed Hassan Diria (R.I.P) ambaye alikuwa Mbunge wa Raha Leo Zanzibar alikuwa Mndengereko?...

Mbona huyu amewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa Kimataifa mwaka 1990 hadi 1993 wakati wa awamu ya pili?....

Acha upotoshaji mkuu....
 
Kwani wewe kabila gani? Mswahili au?
Hata wewe umetoke Tabora au hujui Babu zako walichukuliwa Kigoma-Tabora-Bagamoyo mpaka Zanzibari.
 
Wacha porojo mzee,


Tulikuwa na Salim Ahmed Salim kama Waziri wa Mambo ya nje kabla hajapanda kuwa Waziri Mkuu; na baada ya hapo walifuatia akina Ahmed Diria na Amina Salum Ali. Vipi hao wewe huwatamabui kama wazanzibari, au ni mwenendo wa kulalamika. Mlalamikaji huwa analalamika kuwa kaonewa hata pale anapokuwa amependelea.

In fact balozi kubwa kubwa nyingi sana hapa duniani zina wazanzibari wengi kuliko watanganyika!
 
Huyu dogo yuko brainwashed na akina jussa:rain:
 
Kwani wewe kabila gani? Mswahili au?
Hata wewe umetoke Tabora au hujui Babu zako walichukuliwa Kigoma-Tabora-Bagamoyo mpaka Zanzibari.
Naongea utaufa siongei ukabila, sisi ni kutoka Taifa la Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…