Hakuna mZanzibar aliwahi kushika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya nje

Baadaya ya Ahemed salim hao wengine walikuwa manaibu tu, huoni kwamba hamuleta balance katika muungano ? Kwanini nyinyi munapenda kujifanya big brother ? Huyo Ahmed salim mbona hamukumpa kugombania Urais wa Muungano ? Wabaguzi tu juu ya wanzanzibari munawapa madaraka watu ambao munawatumia kwa maslahi yenu binafsi.
 

Huyo hata agombee na jiwe huku bongo hawez pata,hhakuna mzanzbar yyte yule atakae kuja iongoza Tanzania kwa kura za watu,unlesss ufanyike udikteta wa CCM
 
Hili jamaa halina akili
Nitambue umri,kiwango chake cha elim na kaz anayofanya kwa sasa,akil huna hata kidogo unaongea usiyoyajua mnachokililia waZenj kipo karbu mtakipata
 
Hili jamaa halina akili
Nitambue umri,kiwango chake cha elim na kaz anayofanya kwa sasa,akil huna hata kidogo unaongea usiyoyajua mnachokililia waZenj kipo karbu mtakipata
Kifuu kweli wewe
 





suluhisho ni kugawana mbao tu ila nashangaa tunang'anganiana, wazenji wao wanasema siku nyingi tu wapewew nchi yao
 
huwaga najiuliza wana jf, hivi ni kitu gani tanganyka tunafaidika ktk muungano, mimi siamini kama serikali ya ccm haifaidiki na lolote, kuanzia nyerere hadi uongozi tulionao sasa, hivi ni kweli kua wao ni wajinga kua waendelee kung'ang'ania muungano usio na faida, si bure iko kitu
 
suluhisho ni kugawana mbao tu ila nashangaa tunang'anganiana, wazenji wao wanasema siku nyingi tu wapewew nchi yao

Sallas
ukitaka ushikwe na kidhungu dhungu waza muungano wa Tz. Alipokuwepo mwenyewe muumini wa huu muungano Mwl. alitueleza alioyajua kuuhusu huu muungano. Akafa na siri zake. Leo yeyote anayeutetea ni kwa anayo yafaidi tu huko si vinginevyo.
Waende kwao tukae tujadiliane tena kama hitaji litajitokeza baadaye
 
siku Wazenj mkiamua kuvunja Muungano huu uliopo mjue imekula kwenu, Tanganyikans have nothing to loose. Wapemba na Wanguja waliohuku Tanganyika, tunawarudisha Zenji ndani ya saa 24. Huko kwenu lazima kutanuka tu kwa msongamano wa watu na ardhi ya kuwahifadhi hamna. Vunjeni huo muungano bila kufikiria kesho inakuwaje itakula kwenu.

Halafu tuone kama kweli mna jeuri ya kuwatuliza wananchi wenu watakaokuwa wamepoteza matumaini kutokana na ujinga wa akina Jussa.

Tulipofikia ni pagumu Wazenj, tumieni busara kwa maslahi ya Wazenj ili isije kula kwenu!!!!!
 
Huu ujinga mengine. Ndio maana huwa nasema kuna haja ya kuverify wenye uwezo wa kuanzisha threads maana kuna uwezekano hizi ni akili za shule ya msingi
Pamoja na kuwa mtoabhoja kaonesha uwezo mdogo sana but naona bado ana uwezo mkubwa by far compared to wewe
 

Balozi Diria alikuwa waziri kamili wa mambo ya nje, hajawahi kuwa naibu waziri; balozi amina ali ni sahihi, alikuwa naibu waziri;

Kwa kuongezea tu, Dr Abdurahaman Babu ilikuwa ateuliwe uwaziri wa mambo ya nje lakini akapewa uwaziri wa fedha baada ya mapinduzi ya zanzibar. Dr. Babu ndiye mtu pekee aliyewahi kushika wadhifa wa waziri wa mambo ya nje wa zanzibar baada ya mapinduzin kabla ya wizara hiyo kufanywa kuwa ni ya muungano na kupewa mtu wa Tanganyika.

Tunatarajia zanzibar kujipatia waziri wake wa mambo ya nje wa pili baada ya miaka 50, kufuatia ujio wa Tanganyika.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Bala always not here....
 
Tulikuwa tukiwapiga kavukavu..malalamiko kibaooo sasa tumeamua kutumia TATU BOMBA bado tuuu!
Khaaa mbona hamna shukrani nyie!!?

Yule aliyesachiwa na Wajerumani kwa kesi ya madawa ya kulevya Diria alikuwa Mtanganyika wa wapi na alikuwa waziri wa nini naomba msaada wa kueleweshwa jamani
 

Kwa matarajio yako hayo, lakini kwa matarajio ya wazanzibari hailo haliko kwa sababu rasimu ya katiba haeleza kwa kina mgao wa madaraka pamoja na mgawawanyo wa office kuu za muungano, kama ilivyo sasa kwamba eti muungano uko balance, headquarter zote zipo tanganyika za muungano.

Kurudi kwa Tanganyika sio kupata kile wanacho kihitaji wazanzibari, bali ni kwa faida ya watanganyika wenyewe, kwa sasa wanategemea kuwa na serikali mbili za uwendeshaji na kuiburuza zanzibar.

Kama tumeamua kuwa na shirikisho basi kila upande ujitegemee, mambo saba ya muungano kila mtu abebe yake, mnahofia nini Tanganyika kuwa na mambo yenu ya nje na uraia wenu pamoja na ulinzi ?

Mmekuwa mukisema sana kuwa wazanzibari hawajui nini wanacho kitaka lakini kawathibishia Warioba siku ya uzinduzi kwamba asilimia 60 zanzibar wanataka mkataba, na asilimia 61 Tanganyika wanataka serikali tatu, akauuuza maoni ya wazanzibari na kuyachukua ya watanganyika na kuwapa 3.

Juzi alipohojiwa Warioba alisema kwamba katiba ya tanganyika inawezekana kuandikwa ndani ya miezi mitatu kwani maoni mengi ambayo waliopendekeza katika katiba ya muungano yamo mule ina mana ya wazanzibari hayamo.

Jengine zaidi munasema kwamba wazanzibari munawabeba kwa kutumia muungano, sasa jee kwanini munang'ang'ania kuwalazimisha katika huu mungano, si mutawache tupumue , mutapungunguza gharama kubwa za kuendesha muungano kama vile munavyo sema, kwa nini kunazidi kuilazimisha zanzibar kubaki katika muungano.

:sad::sad::sad::sad:
 
huu ujinga mengine. Ndio maana huwa nasema kuna haja ya kuverify wenye uwezo wa kuanzisha threads maana kuna uwezekano hizi ni akili za shule ya msingi
kamanda mtusi kwa tusi lingine mimi taarifa hizi nilikuwa nazo darasa la 3!
 
acha miropoko week ndo inaanza hivi Dr Salim,DIRIA hawa kwako sio wanzanzibar? au unataka watoke CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…