Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Ahmed hassan Diria- alikuwa Mzanzibari na ameshashika uwaziri wa Mambo ya Nje
Amina Salum Ali- amewahi kuwa Waziri wa Nchi- Ushirikiano wa Kimtaida
aidha kila mara manaibu waziri wa mambo ya Nje kutoka Zanzibar wamekuwepo- Dk Abdulkadir Shareef, Balozi Seif Ali Idi, Dk.Mahadhir Juma,,
Positions held in Tanzania:
- Chief Editor of a Zanzibar daily paper, Secretary General of the All-Zanzibar Journalists Organisation 19631964
- Minister for Foreign Affairs 19801984
- Prime Minister of Tanzania 19841985
- Deputy Prime Minister of Tanzania 19861989
- Minister for Defence and National Service 19861989
- President of the Julius K. Nyerere Foundation 2001 current
Mselem2013 - wewe ni Bonge la boya na ni mvivu wa kufikiria wewe
Mambo ya Pemba na unguja yameisha zamani name watu wameridhiana sahivi na ndio maanakuna GNU wewe acha mambo yako ya kiubaguzi na jua kua dhambi hii tumeigundua tulikua tunaifanya coz tulipandikizwa na wasiopenda maendeleo yetu na sidhani kama ni mpemba halisi ww usingefanya dharau kwa masheikh Mimi ni mpemba tena wa pandani ila sijawahi msikia mpemba yeyote mwenye idiot idea kama ya kwako ----en on it ! ! ! ! !
Baadaya ya Ahemed salim hao wengine walikuwa manaibu tu, huoni kwamba hamuleta balance katika muungano ? Kwanini nyinyi munapenda kujifanya big brother ? Huyo Ahmed salim mbona hamukumpa kugombania Urais wa Muungano ? Wabaguzi tu juu ya wanzanzibari munawapa madaraka watu ambao munawatumia kwa maslahi yenu binafsi.