Discipline ziro! Pia hana utulivu pindi gem inapokuwa kwenye tensionCasemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Basi mkuu naomba radhi.Mkuu hayo ni matusi ya wazi na kweupe kabisaa
Waambie haoBado hajakwiva kama namba 6 wa kisasa! Huyo hana tofauti na Makelele yani ubunifu ziro
Maneno ya SAF cyo sheriaTatzo nyie mnaongea kishabik fergerson yeye mwenyewe alishakili kwamba hajawah ona kiungo mkabaji mwenye skills kma sergio
Sasa ww unaushawishi gan wa kushawishi watu wenye akili timamu tukikulinganisha na sir
Vidal ni mzuri kwa mechi ndogo ila akikutana na wazee wa shughuli (madrid, barca, atletico) mara nyingi anazidiwa na kuanza kucheza rafu na kupata red. mara ya mwisho busquets kupata red lini? kwanza jamaa anacheza kwa akili sio nguvu. halafu huwezi kusema anabebwa na mfumo wakati bila yeye hakuna mfumo. busquets ndio engine ya barca ukimtoa mfumo wote unapoteaHvi King Arturo unamuonaje onaje labda?!! Au Marco Verrati unamchukuliaje?!! Namba sita anatakiwa mtu wa shughuli kwel kwel. Huyo Busquetes cjui kinachombeba ni mfumo wa Barca hamna kingine. Aje EPL uone atakavyopoteana. LiArturo Vidal lmekichafua Luverkusen, lkakichafua knyama Juve, shughuli anayoifanya Buyern kma wewe ni mfuatiliaji wa mpira hutobisha....
Verrati ssa huyu sura yake haiendani na mpira anaoucheza. Anacheza vyote (jihad na soft)
Suala sio kumnunua kwa shilingi ngapi? Suala ni kuipa timu mafanikio, haijalishi ya muda gani bali mafanikio makubwa.Sawa 2mekuelewa lakini kumbuka football Ni biashara unamnunua Sergio kwa paundi labda 35mil unategemea atapiga mpira miaka mingapi pamoja na uzee wake na utamuuza sh ngp wkt atakuwa ameshazeeka...
Unakosea ligi ya wanaume ndio ipi?sergio anacheza ligi ya wasichana