Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Casemiro!!!

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Sergio busqet hii ni engine ya barca yeye ndio muamizi barca ifanye nini Kwa muda gani na wakat gan even though am not Barcelona fans but I love busqet
 
Hvi King Arturo unamuonaje onaje labda?!! Au Marco Verrati unamchukuliaje?!! Namba sita anatakiwa mtu wa shughuli kwel kwel. Huyo Busquetes cjui kinachombeba ni mfumo wa Barca hamna kingine. Aje EPL uone atakavyopoteana. LiArturo Vidal lmekichafua Luverkusen, lkakichafua knyama Juve, shughuli anayoifanya Buyern kma wewe ni mfuatiliaji wa mpira hutobisha....
Verrati ssa huyu sura yake haiendani na mpira anaoucheza. Anacheza vyote (jihad na soft)
 
Ivi bado mpaka kipindi hiki watu wanatamba kwa maneno? Weka statistics hapa za viungo wakabaji wakali ndo utajua nani kiboko. Acheni unazi lete statistics/Takwimu za kuthibitisha Sergio ni bora kuliko wengne
 
Hvi King Arturo unamuonaje onaje labda?!! Au Marco Verrati unamchukuliaje?!! Namba sita anatakiwa mtu wa shughuli kwel kwel. Huyo Busquetes cjui kinachombeba ni mfumo wa Barca hamna kingine. Aje EPL uone atakavyopoteana. LiArturo Vidal lmekichafua Luverkusen, lkakichafua knyama Juve, shughuli anayoifanya Buyern kma wewe ni mfuatiliaji wa mpira hutobisha....
Verrati ssa huyu sura yake haiendani na mpira anaoucheza. Anacheza vyote (jihad na soft)
Vidal ni mzuri kwa mechi ndogo ila akikutana na wazee wa shughuli (madrid, barca, atletico) mara nyingi anazidiwa na kuanza kucheza rafu na kupata red. mara ya mwisho busquets kupata red lini? kwanza jamaa anacheza kwa akili sio nguvu. halafu huwezi kusema anabebwa na mfumo wakati bila yeye hakuna mfumo. busquets ndio engine ya barca ukimtoa mfumo wote unapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa 2mekuelewa lakini kumbuka football Ni biashara unamnunua Sergio kwa paundi labda 35mil unategemea atapiga mpira miaka mingapi pamoja na uzee wake na utamuuza sh ngp wkt atakuwa ameshazeeka...
Suala sio kumnunua kwa shilingi ngapi? Suala ni kuipa timu mafanikio, haijalishi ya muda gani bali mafanikio makubwa.
 
Back
Top Bottom