Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Duh..bakayako na casemiro mwaka huu wote wamekutana na huyo jamaa na timu zao zilichapwa tena kama casemiro ndyo hana ata vision ya nn anatakiwa kukifanya uwanjan ndyo maana el clasico alitolewa kuepuka adhabu
Umenena Vyema.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
e3903b8431dc073d1cab3445a4d03690.jpg
 
Umewahi kumuona akicheza soka lake nje ya Barcelona na timu ya Taifa ya Spain?
Tuanzie hapo kwanza.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hapana, ila mifano ipo mingi tu ya wachezaji waliotoka Spain wakakutana na formation tofauti na walioizoea tukaona jinsi wanavyo struggle na kuona si kitu, kumbuka Pedro msimu wake wa kwanza Chelsea.
 
Mchezo wa mpira ni mchezo wa furaha,upendo, utani mwingi pamoja na tambo za hapa na pale za kishabiki hili kunogesha ushindani kwanzia ndani mpaka nje ya uwanja.

Ila sasa kuna mashabiki WUPUMBAVU, WASIOKUWA NA HAYA,WALIOJAZA VINYESI BADALA YA UBONGO KATIKA VICHWA VYAO, WALIOJAMPWA NA MAMA ZAO BADALA YA KUZALIWA, WALIOKUZWA NA WASIMBE NA HAWANA NA CHEMBE YA KISTAARABU KAMA WEWE HAPO unaejiita sergio5, ndio mnafanya mpira uonekane ni mchezo wa chuki na unashabikiwa na walevi.

Comment yangu inaweza kuwa ni ya kipuuzi sawa kwa kumfananisha Sergio na hamis tambwe lakini hizo ni kauli za kawaida katika ushabiki, lakini sasa kitendo cha wewe kunitusi tena ukiwa nje kabisa ya mada, seriously ni kitendo ambacho hakivumiliki kwangu, ngoja nikwambie naujua vizuri kuliko nyie mashabiki mbuzi msiojua Ku handle mjadala kistaarabu! Sina haja ya kukwambia ground za comment yangu KUNGURU wewe sababu haustahili.
Pole mzee unamaind bure tu jamaa kakujibu vizuri buscet kiungo
Tambwe mfungaji

WApI nA WaPI

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Sasa ulitarajia xavi angemponda mchezaji mwenzake??

Tofauti na barca na spain sergio amechezea timu gani??
Kaka, we ulitaka Busquets aende kucheza wapi hasa,
Au ndo zile hoja kwamba kama yeye ni Bora aende aka-prove kwenye timu nyingine?
He doesn't have to prove himself to anyone.
The guy is the Beast.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cwez kukujibu swali La kitoto kama hilo nan? Asiyejua ubora wa inesta je nae amecheza timu gan tofaut na hzo jibu swali na ww?
Unapoulizwa swali unajibu swali kwanza ndio unauliza! Bado hujajibu swali!!
 
Kaka, we ulitaka Busquets aende kucheza wapi hasa,
Au ndo zile hoja kwamba kama yeye ni Bora aende aka-prove kwenye timu nyingine?
He doesn't have to prove himself to anyone.
The guy is the Beast.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Bado hujajibu swali mkuu!! Jibu swali acha maneno mengi!
 
Ligi hiyo unayoi - describe kuwa ni ya wasichana ndio hiyo hiyo inayotawala Uefa Champions League pamoja Europa League.
Na vile vile ndio Ligi ambayo inaongoza kwa kuingiza wachezaji almost full squad kwenye Kikosi Bora cha Fifa.
Hakika ni Ligi ya wasichana.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
tofautisha ligi na timu,nakukumbusha tu kwamba 2010 messi alisema tuzo anastahiki iniesta,wanajitahidi sana kutaka kui-potray epl kama ligi dhaifu lakini ndo ligi inayonunuliwa kwa 180k kwa mwezi,wakati la liga unaipata kwa 15k azam
 
Back
Top Bottom