Hakuna nchi iliyotolewa kiuchumi na China, mfano ni Korea Kaskazini Vs Korea Kusini

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.

Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.

Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
 
Ni sawa na kufananisha Iran na Israel.

SK na NK kiuchumi ni mabondia wawili waliopo ulingoni mmoja kafungwa mikono na miguu na mwengine yupo huru halafu wewe unataka kuwe na upambano sawa katika hilo pambano kitu ambacho hakiwezekani.
 
Kwa Korea Kaskazini kafungwa mikono na miguu??
 
Ulitaka uwone nini ndio ujue Korea kaskazini pia ni matajili !!!!

Propaganda za western zisikumbumbaze mkuu. Korea kaskazini wapo juu sana ata mji mkuu wao ni nomaaa umejengeka kisasa!
 
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.

Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.

Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.

Wachina Wana Itikadi za Kikomunisti, hivyo, hawawezi kabisa kumuinua Mtu yoyote yule kiuchumi. Na huo ni Utamaduni wa kawaida kwa Wakomunisti au Wajamaa.
 
Wachina Wana Itikadi za Kikomunisti, hivyo, hawawezi kabisa kumuinua Mtu yoyote yule kiuchumi. Na huo ni Utamaduni wa kawaida kwa Wakomunusti au Wajamaa.
Itikadi za kwenye makaratasi hizo by the way bila China North Korea ingekuwa na hali mbaya kuliko sasa
 
North korea mfumo wao ni ujamaa ambao watu wa ubepari hawawezi kutoa taarifa zao sahihi sababu hawana data kamili ila taifa maskini haliwezi miliki nuclear wala kutoboa kwa vikwazo walivyo wekewa.
Sisi acha tuwe machawa na goli la mama tyu.
 
Ni sawa na kufananisha Iran na Israel.

SK na NK kiuchumi ni mabondia wawili waliopo ulingoni mmoja kafungwa mikono na miguu na mwengine yupo huru halafu wewe unataka kuwe na upambano sawa katika hilo pambano kitu ambacho hakiwezekani.
Hajafungwa, kaachwa ashirikiane na wale anaoona wana mfaa,

Yan wew huwez ukawa unataka kunipiga halafu ufanye na mm kazi nikupe hela, USA kamuwekea vikwazo ili afanye biashara na China na Urusi ambao ni marafiki zake
 
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.

Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.

Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
Usisahau korea kusini pia kwenye utengenezaji wa filamu wana soko dunia yote hii
 
Hapo kwenye vikwazo ni uongo kabisa, ina maana Marekani ndio lazima uelewane naye ndio uwe vizuri kiuchumi na kama ni hivyo basi kwa nini mtu akomae tu kuipinga Marekani wakati unafahamu vema kwamba kwa kufanya hivyo ndio unajimaliza mwenyewe.

To be rationale, why can't you join them if you can't beat them in order save your face.
 
Usisahau korea kusini pia kwenye utengenezaji wa filamu wana soko dunia yote hii
Sahihi mkuu, kwenye filamu kwa Asia Korea Kusini ni top kabisa namba moja na kidunia wanakimbiza sana wako sambamba na nchi nyingi za Ulaya.
 
Korea kaskazini anatakiwa ajitoe akili afyatue nuclear moja angani ili wampe heshima anayostahili.
 
north-korea-kaesong-2011-20423786.jpg
 
Back
Top Bottom