Kwa Korea Kaskazini kafungwa mikono na miguu??Ni sawa na kufananisha Iran na Israel.
SK na NK kiuchumi ni mabondia wawili waliopo ulingoni mmoja kafungwa mikono na miguu na mwengine yupo huru halafu wewe unataka kuwe na upambano sawa katika hilo pambano kitu ambacho hakiwezekani.
Ulitaka uwone nini ndio ujue Korea kaskazini pia ni matajili !!!!Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.
Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.
Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.
Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.
Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
Na dunia kwa asilimia kubwaKwa Korea Kaskazini kafungwa mikono na miguu??
Itikadi za kwenye makaratasi hizo by the way bila China North Korea ingekuwa na hali mbaya kuliko sasaWachina Wana Itikadi za Kikomunisti, hivyo, hawawezi kabisa kumuinua Mtu yoyote yule kiuchumi. Na huo ni Utamaduni wa kawaida kwa Wakomunusti au Wajamaa.
Hajafungwa, kaachwa ashirikiane na wale anaoona wana mfaa,Ni sawa na kufananisha Iran na Israel.
SK na NK kiuchumi ni mabondia wawili waliopo ulingoni mmoja kafungwa mikono na miguu na mwengine yupo huru halafu wewe unataka kuwe na upambano sawa katika hilo pambano kitu ambacho hakiwezekani.
Usisahau korea kusini pia kwenye utengenezaji wa filamu wana soko dunia yote hiiWakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.