Wewe Himars uwasilkii viongozi wa CHADEMA wakilalamika kuusu Yanga na Simba Zimewafubaza Akili!!!!!kwamba vikwazo vimesababisha azuie raia wake kutosafiri nje?
kuangalia mpira?
sinema?
Nitakujibu hii msg yako nikipata wasaaa.Korea Kaskazini ni nchi Masikini sana, muonekano wa maeneo machache Pyongyang yanayovutua ni kwa sababu waandishi wa habari hawaruhusiwi kupiga picha sehemu nyingine zilizochoka ambazo ni nyingi sana.
Ni sawa na hapa bongo mwandishi aje apelekwe Posta, masaki na Mbweni halafu aanze kuuliza kama Tanzania ni masikini sana. Korea Kaskazini wao wamezidi, watu masikini wachafu wachafu na wasio na kazi maalumu hawaruhusiwi kutembea katikati ya mji wa Pyongyang.
Huo ndo ukweli mchungu!! Bila vikwazo vya kiuchumi Korea kaskazini ingekuwepo kwenye top ten ya nchi tajiri duniani👿Ni sawa na kufananisha Iran na Israel.
SK na NK kiuchumi ni mabondia wawili waliopo ulingoni mmoja kafungwa mikono na miguu na mwengine yupo huru halafu wewe unataka kuwe na upambano sawa katika hilo pambano kitu ambacho hakiwezekani.
Kwa nini na yeye asiwawekee vikwazo hao waliyo muwekea ndio ngoma iwe droo..!?Huo ndo ukweli mchungu!! Bila vikwazo vya kiuchumi Korea kaskazini ingekuwepo kwenye top ten ya nchi tajiri duniani👿
Korea Kaskazini kuna kitu gani cha maana ambacho Marekani inaweza kufaidika nacho hadi ihangaike "kuwatumia raia" ?Wewe Himars uwasilkii viongozi wa CHADEMA wakilalamika kuusu Yanga na Simba Zimewafubaza Akili!!!!!
Sasa Korea alilijua ilo kitambo sana
Kuzuiya raia kusafiri aya ni mambo ya kiusalama !!!
chukua hii kama Korea isingedhiti watu kuondoka ovyo na kurudi ovyo inch ile isingetawalika Adui ndio anataka kuwatumia wa Korea !!!!
lkn sio kama wakorea awapo nchi zengine wapo sio wengi lkn Wazungu wamewaona Wakorea waliokuwa nchi za nje awataki kutumika ata wanadhani ni Mawakala wa Serikali !!!!
ndio mana Marekani ikachagiza azimio UN ipitishe Vikwazo kwa raia wa Korea walioajiliwa Mataifa mengine wafutwe kazi !!!
Sababu eti wakidai pesa wanatuma nyumbani kinyume na Azimio lengine la UN kuusu Vikwazo !!!
lkn lengo kuu la Marekani na baadhi ya Mataifa uko ULAYA sio ilo !!!
lengo ni ili Wale Wakorea wakikosa Kazi wanaweza kuwatumia vile watakavyo wao kuliko Sasa Wakiwa Makazini kitisho cha Usalama kinaanzio apo !!!
wenye Akili tu ndio wataelewa !!!
Ndio mana Kiduku Mjanja ktk ilo Inabidi wawazuie Wakorea wasisafiri ovyo Wazungu washenzi sio kidogo tena nyoko Vibaya...
Umesimuliwa au ndo umesomea masimango?Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.
Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.
Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
Vikwazo kawekewa na nan? Kwanini china asimuwekee vikwazo Korea kusi kama US alivyomfanyia CKKorea kaskazini vikwazo vinamuumiza sana
Ushawishi wa kisiasa ukanda wa mashariki mwa Asia, kumdhibiti mpinzani wake mkuu ChinaKorea Kaskazini kuna kitu gani cha maana ambacho Marekani inaweza kufaidika nacho hadi ihangaike "kuwatumia raia" ?
Marekani inafaidikaje na Korea Kusini?
Kafuatilie Malaysia,Indonesia na SINGAPORE nani kaziendeleza kiuchumi kama sio China mkuu.Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China.
Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo Korea Kaskazini ni taifa fukara lenye GDP ya $bilioni 23 na GDP per capita ya $1,700, wanachojua ni kutengeneza mabomu tu, kwa upande mwingine Korea Kusini ni taifa la GDP ya $Trillion 1.8, taifa la nne kwa ukubwa wa uchumi Asia,ina wastani wa kipato $ 34,000, ni taifa linalogawa misaada kwa bara zima la Africa na lenye uwezo wa kuwaita viongozi wote wa Africa Seoul kuwapa agenda zake wajipange nazo.
Kwa uchache Korea Kusini ni nchi ya Samsung, Hyundai na LG wakati wenzao wa Kaskazini sifa kubwa zaidi waliyo nayo ulimwenguni ni wizi wa fedha wa udukuzi mtandaoni.
Toka lini Posta ikawa kama hivyo!?Mbona kama Posta tu!!? Hakuna jipya hapo wewe nguruwe, umewahi kuiona Seoul wewe nguruwe?
Tangu lini wewe nguruwe huwe na akili? Mimi nimesema pako kama posta kwani wewe nguruwe posta unaionaje?Toka lini Posta ikawa kama hivyo!?
Ama ni ufinyu wa fikra unakusumbua?
Doh pole sana sio kosa lako.Tangu lini wewe nguruwe huwe na akili? Mimi nimesema pako kama posta kwani wewe nguruwe posta unaionaje?
Nchi ambazo zinaweza join na marekani na kufaidika sawa kiuchumi ni chache sana katika Dunia hii mfano ni hizo nchi za ulaya magharibi na Urusi tu. Nyingine atazinyonya tu either kwa njia za ujanja janja au kwa kutumia nguvu za jeshi (kuleta vita). Ndiyo maana nchi zilizojitambua zinaamua zipitie kipindi kigumu lakini mwisho wa siku zitafika sehemu zinavuka na kutunishiana msuliHapo kwenye vikwazo ni uongo kabisa, ina maana Marekani ndio lazima uelewane naye ndio uwe vizuri kiuchumi na kama ni hivyo basi kwa nini mtu akomae tu kuipinga Marekani wakati unafahamu vema kwamba kwa kufanya hivyo ndio unajimaliza mwenyewe.
To be rationale, why can't you join them if you can't beat them in order save your face.
Kuna watu sionrizikiKwa nini miaka yote hiyo haijajishughulisha kuviondoa?
Nchi zipi za kiafrika zilizonufaika kiuchumi kwa kuachana nayo.Nchi ambazo zinaweza join na marekani na kufaidika sawa kiuchumi ni chache sana katika Dunia hii mfano ni hizo nchi za ulaya magharibi na Urusi tu. Nyingine atazinyonya tu either kwa njia za ujanja janja au kwa kutumia nguvu za jeshi (kuleta vita). Ndiyo maana nchi zilizojitambua zinaamua zipitie kipindi kigumu lakini mwisho wa siku zitafika sehemu zinavuka na kutunishiana msuli