Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Sifichi, ile mara ya kwanza nasikia kuwa Iran kamshambulia Israel nilibisha sana na kuapa kabisa kuwa kamwe hawezi. Hana ujanja huo.
Nilipotembelea vyombo vyA habari kujiridhisha na kukuta ni kweli kwamba missiles 180+ zimetoka Iran huko na kutua Israel nilibaki mdomo wazi kwa mshangao:
Sidhani kama Kuna nchi Dunia hii, ukitoa marekani, inayoogepewa kama Israel, pamoja na uhakika wa silaha Bora, sababu za kiimani zikiwa mojawapo (Imani hii imemea vizuri sana kwa watu wengi wa mataifa mengi)
Katika Hali kama hiyo, anaotokea mtu, aitwae Iran, anamshambulia Israel, inashangaza
- Ni taifa lililo katika dhiki ya vikwazo vikali vya kiuchumi tangu 1980s, hakuna nchi nyingine Dunia hii iliyowahi kushuhudia vikwazo vikali na kwa muda mrefu kama Iran.
- Nakuna nchi inafuatiliwa kwa karibu katika Kila inachokifanya kama Iran 24/7, macho yote ya wakubwa yapo kwake Huku wengine wakoapa kabisa kuwa kamwe hawatoiruhusu Iran kufikia hatua hii au ile.
- Hakuna nchi inayofanyiwa hila na unafiki na Waarabu marafiki wa USA kama Iran....kina Saudi Arabia na wengine wengi tu hawataki kuona inapiga hatua yoyote.
Wadau, katika Hali hiyo; huyu Iran amewezaje kupenyeza silaha zake, tena kutoka mbali kote kule na kwa uwazi kabisa, Hadi nchi hii ya Israel? Sielewi tu hapa imekuaje.
Huyu Iran amewezaje kuvikabili vikwazo vyote kwa miaka na miaka Huku akifikia Hali hii ya 'kuzipanga' na wababe wa Dunia? Je,
a) Ni kujitoa tu mhanga (kuvurugwa) kwamba liwalo na liwe?
b) Au kwamba ana uwezo kweli? Kaupata lini?
Kwenu wajuzi.

- Sifikirii kama Kuna nchi Ina ulinzi mkali kama Israel (kutokana na historia ya kuumbwa kwake)
- Sidhani kama Kuna nchi inapata msaada mkubwa wa kifedha, silaha kama Israel.
- Sidhani kama Kuna nchi inaungwa mkono kikamilifu na mataifa mengi makubwa na yaliyoendelea kama Israel