Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi

Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba

Hakuna Nchi yenye Watumishi wa Umma wapumbavu na wasio wazalendo hapa duniani kama Tanzania..

Kweli acha tu hii nchi iwe Masikini maana kuna watu wameamua kuondoa bongo zao ili kuisujudia CCM.
 
Pole pole amesema ukweli. Mkuu ukiwa mwana ccm ukijisajili kidigitali automatic unapokea taarifa zako za NIDA. Wataweka kila kitu kutoka kwa NIDA yako. Huu ni uhayawani
Cha kushangaza hayo yote yamewezeshwa na watumishi wa Umma. Haya yote yamewezeshwa na wapuuzi wachache wanaitwa TISS.

Hii nchi kweli imejifia. Yaaani watu wanalipwa mishahara kwa kodi za Wananchi alafu wanakubali kuwa wapumbavu kutumika kwa maslahi ya Chama cha Mapinduzi ambacho hata sio Mungu kwao.
 
Serikalini Kuna watu Wana uwezo mdogo balaa tena wengine Wana zile akili za kikoloni kabisa.

Nadhani Tanzania itakuwa na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji na wenye flexible mindset kuanzia 2040 huko ila sio sasa.
 
Haijajifia ndugu just wait
Ni kweli inakera,inatia hasira lk. Bado kitambo kidogo tu
 
Serikalini Kuna watu Wana uwezo mdogo balaa tena wengine Wana zile akili za kikoloni kabisa.

Nadhani Tanzania itakuwa na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji na wenye flexible mindset kuanzia 2040 huko ila sio sasa.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hii nchi kwenye Utumishi wa Umma na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ina upuuzi unaitwa Collective Stupidity wa kiwango cha kutisha sana.

Hii nchi ni ya kuonewa huruma sana.
 
Cha kushangaza hayo yote yamewezeshwa na watumishi wa Umma. Haya yote yamewezeshwa na wapuuzi wachache wanaitwa TISS.

Hii nchi kweli imejifia. Yaaani watu wanalipwa mishahara kwa kodi za Wananchi alafu wanakubali kuwa wapumbavu kutumika kwa maslahi ya Chama cha Mapinduzi ambacho hata sio Mungu kwao.
Huko tiss ndio hakuna kitu kabisa wamejaa UVCCM na watoto wa waliowahi kuwa tiss na watoto wa wanajeshi ( recruiting system mbovu)

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Huko tiss ndio hakuna kitu kabisa wamejaa UVCCM na watoto wa waliowahi kuwa tiss na watoto wa wanajeshi ( recruiting system mbovu)

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ajira za vimemo, kujuana, ukada wa CCM ndo zimezifanya Taifa hili kuwa in total collapse ya systems zote kwa kiwango cha kutisha.

Saivi sidhani hata huko Serikalini na TISS wanajua maana ya logic na common sense.

Tumekwisha.
 
Baada ya kuona wananchi wenye akili hawatoi namba za NIDA kwa mawakala wa nzi wa kijani, bibi aliyejiteua na msela wake wakaamua kupanda na NIDA kabisa. Bibi tozo ni mhalifu na mharibu inji.
 
Tuanze kushughulika na familia za askari, walimu, na watumishi wengine
 
Back
Top Bottom