Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

haya mambo ni watumishi wachache sana wanaweza jua. Wenye password, wengine wanahisi na hawana ushahidi kamili, ndio mana aliesema kasema kuhakikisha hili, lazima maghuli wa tehama wakague
 
Si dhani kama TATIZO ni WATUMISHI WA SERIKALI ingawaje wao ndio watekelezaji........ TATIZO NI MFUMO chini ya FISIEMU
 
Hiyo idara itakuwa imejaa UV na watoto wa vigogo!

Business as usual.
 
Polepole ni Mdinka kutoka South Sudan. Nae alijipenyeza kwa njia za panya.
 
Back
Top Bottom