Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
SahihiKama tungekuwa na watumishi wenye akili na huko TISS wangejua tu kuwa CCM ni chama tu cha siasa hivyo hakiwezi kupiganiwa kama Taifa linavyopaswa kupiganiwa.
Walipaswa kujua kuwa maslahi ya Tanzania ndo yanapaswa kuwa ya kwanza zaidi ya kitu chochote na sio maslahi ya chama cha siasa