Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Cha kushangaza hayo yote yamewezeshwa na watumishi wa Umma. Haya yote yamewezeshwa na wapuuzi wachache wanaitwa TISS.Pole pole amesema ukweli. Mkuu ukiwa mwana ccm ukijisajili kidigitali automatic unapokea taarifa zako za NIDA. Wataweka kila kitu kutoka kwa NIDA yako. Huu ni uhayawani
Huu upumbavu wa Watumishi wa Umma kwenye hii nchi umezidi ni wa kiwango cha rami.Naomba kujua historia ya nyirenda alyepandisha bendera mlima Kilimanjaro.....
Ndo aliyefanya waTZ wawe hivi ....
Haijajifia ndugu just waitCha kushangaza hayo yote yamewezeshwa na watumishi wa Umma. Haya yote yamewezeshwa na wapuuzi wachache wanaitwa TISS.
Hii nchi kweli imejifia. Yaaani watu wanalipwa mishahara kwa kodi za Wananchi alafu wanakubali kuwa wapumbavu kutumika kwa maslahi ya Chama cha Mapinduzi ambacho hata sio Mungu kwao.
ungekuwa uko vizuri usingetumia tecnoSerikalini Kuna watu Wana uwezo mdogo balaa tena wengine Wana zile akili za kikoloni kabisa.
Nadhani Tanzania itakuwa na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji na wenye flexible mindset kuanzia 2040 huko ila sio sasa.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hii nchi kwenye Utumishi wa Umma na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ina upuuzi unaitwa Collective Stupidity wa kiwango cha kutisha sana.Serikalini Kuna watu Wana uwezo mdogo balaa tena wengine Wana zile akili za kikoloni kabisa.
Nadhani Tanzania itakuwa na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji na wenye flexible mindset kuanzia 2040 huko ila sio sasa.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Huko tiss ndio hakuna kitu kabisa wamejaa UVCCM na watoto wa waliowahi kuwa tiss na watoto wa wanajeshi ( recruiting system mbovu)Cha kushangaza hayo yote yamewezeshwa na watumishi wa Umma. Haya yote yamewezeshwa na wapuuzi wachache wanaitwa TISS.
Hii nchi kweli imejifia. Yaaani watu wanalipwa mishahara kwa kodi za Wananchi alafu wanakubali kuwa wapumbavu kutumika kwa maslahi ya Chama cha Mapinduzi ambacho hata sio Mungu kwao.
Ajira za vimemo, kujuana, ukada wa CCM ndo zimezifanya Taifa hili kuwa in total collapse ya systems zote kwa kiwango cha kutisha.Huko tiss ndio hakuna kitu kabisa wamejaa UVCCM na watoto wa waliowahi kuwa tiss na watoto wa wanajeshi ( recruiting system mbovu)
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio mtekaji nini? Acheni kutisha watu. Hayo mambo ya kutishana yamepitwa na wakati. Wewe utakufa, mimi nitakufa na sote tutakufa kwa wakati tofauti.angalizo ukiacha kuchangia hoja humu hakuna atakaejua umeenda wapi, we komaa tu